Home
Unlabelled
mrisho mpoti laivu na bendi yake ya mjomba jazz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Mrisho
ReplyDeleteHuo ndiyo mziki wenye maadhi ya Kitanzania.
Tunatakiwa kuwa na kitambulisha au tabia inayowaslisha mziki wa Kitanzania ,na hapo basi tumepata.
Huyu jamaa yeye ni mtu wa Ngonjera SIO mwimbaji.
ReplyDeleteHapo ndio nachoka mimi, Nurieli na Ismail si walikuwa B Band vpi tena?
ReplyDeleteCongrats my brother Mpoto... one suggestion though... Back-up wako (mdada mwenye kikaptura cha jeans)anahitaji kuvaa kufanana na muziki wako... anaoneka out of place kisha hapendezi kabisa... jeans ni vazi la kimarekani... kikaptura cha jeans ni cha wamarekani wa ghetto!!!
ReplyDeletesamahani... ila ukweli ndio huo.
watanzania bwana,sasa JAZZ wakati mziki mnaoimba hapa sioni hata element ya jazz music hapa. si bora uupe tu jina jingine
ReplyDeletesasa huyu mpoto mbona anapotosha kiswahili maana ktk wimbo wake nimesikia anasema asanteni kwa ku HAIRISHA shughuli zenu badala ya KUAHIRISHA au ndo ulimi hauna....
ReplyDelete