Assalam aleyqum Ankal.
pole na majukumu ya kila siku kaka,
pole na majukumu ya kila siku kaka,
Mimi ni Kijana wa Kitanzania niitwae Khamis Kasim Ruhabaye (Kigoma ndo Home) ni mwajiriwa wa Tanesco na ni Engineer niligraduate 2007 hapo Udsm. Nimefanya kazi Tanesco for two years, then kupitia wizara ya elimu ya juu na.... kuna tangazo walitoa la scholarship za kusoma China nikaaplay nikapata, though mke wangu hakupata japo tuliomba wote wawili ( Mke wangu alimaliza Muhimbili) So katika kuja huku nae alinifuata baadae kaka. so nipo nae. Am sorry for kwa hii story ndefu ila ina maana hapa kama ifuatavyo.
Mara baada ya kufika China, nikaanza kukamua kama kawaida lakini nikiwa na malengo ya kubadili koz na kusoma Umeme kitu niliyofanyia degree ya kwanza lakini kwa bahati mbaya jamaa wamechomoa kubadili kaka so nasoma SIGNAL AND INFORMATION HANDLER kaka....so mbaya ila siipendi so sikuchoka kutafuta kwingineko huku nakomaa na hapa nilipo.
One day katika kupitia Blog yako though huku tunaifungua kwa shida mpk tutumie VPN na PROXY ndo inakua poa otherwise hakuna BLOG huku. Niliona umepost kitu flani kuwa kama unataka kuwork au kusoma kwenye scandivia Countries then uandike mail kwa Gloria Boiko mail ilikua gloriaboiko@ymail.com so kama kawa nikaaplay mie na yf wangu as per your post....
Its just last week jamaa wamenijibu kuwa nimepata hiyo chance nami nikawachana kuwa mie nina mke so itakua vp?? wakaniambia kuwa haina kwere.. niwapostie doc za yf na watamconsider.
Its just last week jamaa wamenijibu kuwa nimepata hiyo chance nami nikawachana kuwa mie nina mke so itakua vp?? wakaniambia kuwa haina kwere.. niwapostie doc za yf na watamconsider.
(Nshawapostia)...ila kuna malipo ya USD 350 each so kwa mtu mbili USD 700 sio shida kuitoa hiyo pesa kwa kupata shule au kazi ila kuingizwa kingi nayo sio poa...koz nimewaomba jamaa hata namba yao ya simu ila sijui inakua vp hiki kipengele kinakua kigumu kwao.... SO MI NAKUOMBA MSAADA KAKA NI KUJUA HAWA WATU UHAKIKA AU NDO CHANGA???
Am not sure kama unamkumbuka mtu aliekutumia hii kitu. ila kama unamkumbuka naomba contacts zake ili kucomfirm zaidi hii issue isije tukawa tualipa pesa kwa empty thing.. PLEASE HELP ME ......JUST KUJUA NI UKWELI AU LA....
Msaada wako unahusika.
Khamis.
Msaada wako unahusika.
Khamis.
point mbili
ReplyDelete1. Kwa nini kama hiyo course huipendi ulikubali kuichukuwa? unajuwa kuwa umemzuilia mwenzako mwenye interest na hiyo speshializesheni? na sasa unataka kuitema? ubaya gani huo?
2. hili siali la skandanavya ni changa kwenye macho kilo nzima, stori yote haiko sawa.
kaka hao niwaongo,na mimi wamenijibu same thing na no ya simu hawatoi, nimewaomba mar nyingi hawakubali, achana nao
ReplyDeleteMaalim Khamis kwanza pole kwa kuhangaika. Kuhusu huyo Boiko, miye pia kanijibu kwa barua pepe yenye kichwa cha habari Congratulations! akitaka nimtumie hiyo dola.350. Kwakuwa amegoma japo kwa kunitumia namba ya simu japo feki,kwa maana wanaijeria wao mpaka simu wanakupigia na website wanazo, lakini huyu vyote hivyo kagoma kutoa. Mwenyewe nikajikonkludia kuwa hili ni CHANGA, na nimeachana nao.
ReplyDeleteningependa kukusaidia lakini maelezo yako hayaeleweki unanifanya moja kwa moja nikufikirie tofauti usije ukaja hapa ukaingia mitini siku nyingine andika kwa lugha inayo eleweka
ReplyDeleteSio mbaya kama unapenda ILE KWAKO.
ReplyDeleteUSITOWE PESA YAKO NI WEZI HAO NDUGU. KUNA JAMAA HAPA ANASEMA ANGEWEZA KUMSAIDIA, KAMA UTASOMA HII TUKO WENGI TUNAOTAKA KUSOMA HUKO KAMA UNAWEZA KUTUSAIDIA BASI TUSAIDIE MZEE UNAWEZA KUPITISHA MSAADA WAKO KWA MICHUZI, AU WEWE UNAVYOPENDA KUSAIDIA WATU, TU WATANZANIA TUINUWANE MZEE
ReplyDeletejamani kweli hilo changa la macho yanwote tulio apply katujibu tumepata. akiwapata ajinga wajinga watakao toa watazichuma sana kirahsi, jana nimejaribu kumwandika kwakutumia two different email kama vile naiulizia project akanijibu kamam email aliyotutumia mwanzo we are still working on the project ila tuma document zako kuna million application same stories, haya wakati huku ametuumia email sis wengine congratulations, it means bado tu anapokea apllications, jamani credict crunch noma watu wanatafuta means ya kupata hela, kama huyu anapata kiulaini, wewe kaka wa china kuwa makini, no hataki kutoa huyo hata website nimemwomba anapitisha tu. kwa sasa nanasema majina yetu yanwekwa kwenye system then tupangiwe nchi utakayo enda, ndio wakupe njia ya kutuma hela hiyo hela tutaambiwa tutumie westeunion utakuja kuniambia. wadau kuweni makini jamani. kwanza namshukuru michuzi kwa hii blog isingekuwepo tusinge jua kama wote tunatumiwa same things na huyu mama watu kupost mada ianasaidia sana, big up kaka michuzi,Mungu akubariki
ReplyDeletepole sana. usije kuwatumia hizo pes. kaka nchi za scandnavia hazina wakala wa kutoa scholarship. Nilishawahi kupost njia nzuri ya kuja kusoma sweden kwa bahati mbaya sijaiona ankal hakiitoa online ila kwa faida yako ingia www.studyinsweden.se/scholarships.
ReplyDeletepole sana. usije kuwatumia hizo pes. kaka nchi za scandnavia hazina wakala wa kutoa scholarship. Nilishawahi kupost njia nzuri ya kuja kusoma sweden kwa bahati mbaya sijaiona ankal hakiitoa online ila kwa faida yako ingia www.studyinsweden.se/scholarships.
ReplyDeleteKhamis, kaka kwanza habari za siku kibao. Nakumbuka tulikamua wote pale Mkwawa (Casino) mwaka 2002 ndo tulimaliza pale na tukajoin wote Mlimani (UDSM), sasa ndugu yangu mbona unaniangusha kaka na ujanja wako wote. Hao jamaa changa la macho we komaa na hiyo course uliyonayo kwa hapa bongo nadhani ipo poouwa tu, huo ndo ushauri wangu, usije ukakosa yote hiyo ya China na hiyo course unayoomba pamoja na hizo USD 700, bila kusahau muda utakaoupoteza na kumsumbua bure shemeji yetu, mara leo huku kesho huku na pia utaanza ijutia kazi yako ya Tanesco kama uliitema au uliomba likizo ya muda. Cha msingi komaa kaka.
ReplyDeleteMwana Zuoni mwenzako
Kwanza waulize,
ReplyDeleteChuo gani umepata...halafu wasiliana na hicho chuo kama kweli umepata admission.
Huku nchi za Nordic mtu unaweza kupata scholarship kutoka NORAD (Norway), DANIDA (Denmark), FINIDA (Finland), SIDA (Sweden), ama moja kwa moja kutoka chuoni au kutoka kwenye mashirika ya kidini au asasi zisizo za kiserikali zinazojulikana.
Huku hakuna mawakala wa kukutafutia scholarships!!!
Hao jamaa ni matapeli
Mi maitwa Martha, Ndugu yangu hamis na mimi nimetuma hiyo issue kwa gloria Boiko ila umenifungua macho nilikuwa bido nawasubiria ili niwaombe address zao au tel zao wamenilete tu congratulation um,echaguliwa wakaniambia nilipe $350 ila sijatuma nilikuwa nahis ni matapeli ila aliyetuma hii issue ni dada mmoja anaitwa Mwasitikwenye blog ya issa michuzi ila contact zake hajaacha nahisi ni matapel usitume pesa ngoja tufanye uchunguzi hamis ndugu yangu
ReplyDeleteukishaona hela imeulizwa mbele sita halafu kimbia, hakuna cha rahisi siku hizi ni labda pumzi tu nay mzungu akishajua namna fulani ku-control mbona tutapumua kwa pay as you go ni kweli utapeli mwingi hapa ungreza jamaa liandika anakodisha nyumba kwa wageni wasipate shida pa kufikia kumbe jamaa wala hayupo hapa ungreza yeye anaishi africa magharibi [kama ulikuwepoe] basi watu maelfu wanaambiwa weye acha depasit account western union, halafu pia angalieni email za watu, miye email ya kazin inaishia na yahoo gmail kwangu ni feki, a reputable coy will have a reputable email address, phone and fax contacts. Rahisi ghali wakati mwingi
ReplyDeleteWadau angalieni "kiungo" hicho hapo chini:
ReplyDeletehttp://watanzaniaoslo.blogspot.com/2010/03/mawakala-wa-kazi-na-scholarships.html#links
Kutoka Oslo
mm ni mtanzania naishi tunisia nilienda naye huyo mama wa kifinland kwa majibizano ya e mail mwisho alinitumia accounts namba moja ipo Ukraine na nyingine USA hii moja kwa moja haina logic yeye yupo finland accs zipo nchi nyingine ambazo si za scandinavia,pili hatoi contants za office yake kama adress na namba za simu kama maagent wengine.mm nina wasiwasi naye tena sana i dont trust her kaka usiingie chaka.(abdul ramadhan)
ReplyDeleteBabu na nyinyi mnapenda kusoma soma sana.. mmeshapata Degree mnahangaika angaika, wengi wenu Masikini, sasa angalieni watu wamewageuza commodities.. Vipi nyie magraduate wetu mbona mmetusaliti, mmetumia kodi zetu kusoma hamueleweki, mikopo hamtaki kulipa, Miradi hamuwezi kuanzisha kututengenezea ajira.. Mnatanga tanga tu hamjui lipi mfanye, Masikini mwee..
ReplyDeletePoleni sana.. ni muda wenu wa kuingizia taifa letu mkwanja acheni kupoteza muda..