asante mdau wa mtwara kwa kutuletea taswira hii mwanana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Taswira nzuri,ila ingenoga zaidi kama angetwambia kachukulia akiwa kijiji gani?, Mbekenyela, Mahuta, Nyangao, Kibutuka, au Mitwelo.

    Asenti.

    ReplyDelete
  2. MAENDELEO SAWA KWA WOTE KWA KASI MPYA NA NGUVU MPYA

    ReplyDelete
  3. Duh, very beautiful. Nyumbani kuzuri jamani.

    ReplyDelete
  4. kuna maeneo tz na haya ndo yakuishi kutoa stress za town mf sumbawanga,kigoma,mtwara,mafia,isimani nk nk

    so virgin places

    ReplyDelete
  5. Du! ama kweli tulio mbali tunakosa vitu!! hao wamama wamebeba maguni ya SAMAKI nchanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...