Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NJOMBA MNACHEZA MAPIKU TU HAPO, WOTE WATU WA COLOUR TU HUWEZI KUMUONA MTU MWEUPE KATIKA BAR ZA WATU WA COLOUR NA KILELE NYINGI KAMA HIZO, MKO MAJUU HAMJUWI KUWA KUNA VIPIMO VYA VIWANGO VYA KILELE AMBAVYO NI SAHIHI KWA AFYA YA MASIKIO YA BINADAMU, HAPO UKIENDA KILA SIKU KWA MWAKA UTAKUWA KIZIWI NA UTAPATA STRESS I BET WATU WA HEALTH AND SAFETY HAWAJAPITA HAPO PANGEFUNGWA. kilele kama kilabu ya pombe iringa mshindo

    ReplyDelete
  2. huyu dada bomba sana lakini kasoro yake kila msanii anaekuja uk hakosekani kwani kaajiriwa kupokea wasanii au anajipendekeza?

    ReplyDelete
  3. ankaall huo mji wa slough ndio mji wangu wakati nipo hapo kwa sasa napiga boksi sweden mdau hapa.....

    ReplyDelete
  4. We anon wa kwanza kabisa hapo juu una matatizo ya akili. Yaani sehemu asipokuwepo mtu mweupe ndio hapafai? Hujui wanaokwenda hapo wanapenda huo muziki ambao wewe unaita kelele.

    Mbwiga we!

    ReplyDelete
  5. Hakuna kitu kibaya duniani kama gere na ULIMBUKENI watu weupe ni weupe tu na wala haimainishi kwamba sehemu asiyokuwepo mtu mweupe haifai ila tu kwa ww mdau hapo juu unavyoamini, watu wapo hapa Ukerewe wanatafuta maisha na hakuna hata mmoja anaesifia chochote ila tu kuwepo hapa na kufanya kazi hapa kuna mfanya aweze kusaidia familia alioicha afrika hili jambo kwa kila mwafrika aliyepo hapa sasa kama ww una problem with it basi ni matatizo yako. Kwa michuzi kuonyosha picha za ukerewe hawasifii ila kuonyosha kwamba watu jinsi gani kufananisha na matatizo wanayopata watu hawa waliombali na familia zao wanaweza at least kujiliwaza hakuna sehemu nzuri kama nyumbni, na ww UNAENDEKEDHA MAMBO YA MAJUU UTAKUTA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE KUNA MTU AMBAE YUPO NJE YA TANZANIA UNAMTEGEMEA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE usiwe na roho ya korosho na ndo nmaana hujapata hiyo chance ya kuwa ughaibuni. Hata siku moja huwezi kufananisha Tanzania na Nchi yoyote ya Nje sio tu UK ingekuwa hivyo usingepata shida yote hiyo ya kupanga foleni tangu alfajiri kwa ajili ya Visa ya kuja hapa waliulize hao Wachina wanalipa kisi gani kupata Visa ya kufika Hapa? acha hizo hujui wot you talking about 4 someone 2b in tha UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...