KUNA TAARIFA KWAMBA KITUO CHA TAARIFA (LIGHT HOUSE) CHA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA KILICHOPO MLNAGO WA BANDARI YA DAR ES SALAAM KINAWAKA MOTO.

KWA TAARIFA ZAIDI
ZITAFUATA BADO TUNAFATILIA

KWA MAELEKEZO KITUO HIKI NI LILE JENGO LEFU PALE MAENEO YA FERI KARIBU NA SOKO LA SAMAKI LILOSHIKA MOTO MAJUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mbona hakuna taarifa yoyote toka light house au ndio mambo ya APRIL 1?.
    MZAZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...