TEGETA KILIMAHEWA JIJINI DAR KILOMETA 2. KUTOKA TEGETA STENDI
ina vyumba 3 na master bedroom 1.
Sitting room, dinning room na kitchen vyote vya kisasa.
Vyoo na bafu za kisasa na heater.
maji ya bomba na reserve tanks.
Mpangaji hasa tuwasiliane kwa namba hii
+255 715 088 610
dalali hatakiwi
Mdau
Mdau
Jamani, Jamani jamani hii nyumba si mliitangaza hapa hapa globu ya jamii kuwa inauzwa? Sasa aliyenunua anapangishaa? au imekuwa vipi?
ReplyDeleteMdau wa Mon Mar 22, 11:23:00 PM
ReplyDeleteUna kumbukumbu kama zangu Jamaa alikuwa anauza $150,000 au Tzs 200Millions. Naona jamaa kakosa mnunuzi kaamua kupangisha. na safari hii kawa mjanja kweli hata bei hakutaja. Maana kama angekuwa ameuza basi mnunuzi angepiga picha zake mpya na kutuwekea siyo zilezile katika angle zilezile.
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/12/nyumba-inauzwa-tegeta-kilimahewa.html
ni kweli ilikuwa inauzwa hata mie nimewahi iona,km nakumbuka vizuri kwenye blog ya Jide,Naona muuzaji kakosa mnunuzi,may be bei chafu.Ila sasa hataaminika,mara kuuza, mara kupangisha, lazima kuna walakini hapo,so walio na interest na hiyo nyumba wawe makini.Ni maoni tuu
ReplyDeleteHii nyumba imeuzwa weeeeee!!mwisho wa siku sasa inapangishwa wacha inadiwe kwamba inapangishwa weeeeeeee!!!!mwisho wa siku sasa tutaambia hii nyumba inatafuta watu wanaotaka kukaa bureeeeeeee!!!
ReplyDeletejamani hata mie niliiona hiyo nyumba tena kwa picha hizo hizo mh au nyumba ina gunduuuu?manake ilikuwa inauzwa gafla inapangishwa mh lazima ni kati ya zile nyumba zinazokuwaga na mashetani sio bure ,wadau muwe makini hizi ndo zile nyumba mnalala vizuri asubuhi mnajikuta mmelala nje,ni maoni tu wadau.
ReplyDelete- Huenda alienunua ndio anapangisha...
ReplyDelete- Hata hivyo hakuna kosa hapo mtu unaweza kubadili mawazo hasa pale unapoona umetumia gharama kubwa katika ujenzi lakini bei wanazotaka kununua watu ni ndogo na utapata hasara unaona bora usiuze. Hio nyumba inavyoonekana ni kubwa na kama ndani imekamilishwa kila kitu bei yake ya mauzo kwakweli itakuwa ni kubwa
Hii nyumba sio bure lazma ina majini au dhulumat imetendeka hapo, mbona mnahangaika nayo sana???! jasho la mtu jamani ---
ReplyDeleteKama alienunua ameamua kuipangisha shida iko wapi? Wenye nia ya kweli kupanga wajitokeze. Inapendeza!
ReplyDeleteHeater Dar!!! Ya kazi gani? Labda ungesema central AC
ReplyDeleteyes heater in dar, labda ya kunyonyolea kuku manyoya! ndo faida ya kuiga iga bila akili. mara nyingi huwa ni hela za kifisadi, hazina uchungu
ReplyDeletekodi shs ngapi? i'm interested
ReplyDelete