Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizindua Ripoti ya Poverty and Human Development ya
mwaka 2009 baada ya kufungua warsha ya watafiti (Annual Research Workshop) ilyoandaliwa
na REPOA kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar leo. Shoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya REPOA, Prof. Ester Mwaikambo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REPOA, Prof. Joseph Semboja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...