Home
Unlabelled
polisi dar wakamata majambazi sita na vifaa vyao vya kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa kova tunataka umkamate AFANDE SELE aeleze kwanini alimpiga MABUSU MADEE raisi wa manzese mbele ya waziri shamsa mwangunga wakati anajua fika maelfu ya watanzania walikuwa wanaangalia fainali ya maisha plus
ReplyDeletemmhh majambazi bwana hayakomi, hayajui hata soda walizokuwa wanakunywa zitaonyeshwa hadharani sijui dawa ni nini maana hata hiyo ya kuonyesha vifaa vyao haisaidii
ReplyDeleteHAHAHAHA AFANDE KAAMUWA HII SASA NDIO KESI SASA, KUMBE UKIAMUWAU NAFANYA KAZI BILA WADAU USINGEFANYA KAZI. KHAMIS.
ReplyDeletewewe wa kwanza hacha bangi kwenye jamii rais wa manzese aende akatishe serikali yake uko uko uswahili kwao mambo sele na madee wapi na wapi.
ReplyDeleteUHEJEJEJJEJEJEJE
ReplyDeletehivi kwa nini hiyo mifuko ya police nimikubwa hivyo??
ReplyDeletelonga longa tu mnaditia wachapakazi hivi sasa lakini mnasahau mnapowababikia watu keshi na halafu kuwachafulia majina yao na kuwakurupukia tuu na kutaka kuwatia ndani bila ya uthibitisho kamili.
ReplyDeletehamna lenu jambo nyinyi njangu njangu kina kovu
Vipi walikuwa na pingu ?
ReplyDeletenilipoona picha ya pili nikajua heh matapeli wengine wanatambulishwa, mwingine ataambiwa sogea huko ili mwenziwe atambulishwe na vifaa vyao na sifa zao kibao, kumbe sio safari hii
ReplyDeleteHahaha naona Afande leo leo meno nje anafurahia kurudi kwenye ngoma yake anayoipenda. Ile ya last time ilikuwa ngumu kuicheza na mapigo yake yalikuwa hayaeleweki kama ni mdumange, mganda, mnanda, taarab au bongo flava. akajikuta hajui acheze vipi.
ReplyDeleteBy the way hongera kwa kuzuia uhalifu japo ninajua hawa mliowakamata walikuwa hawajapata vibali vya vijana wako katika kufanya kazi waliyotaka kuifanya.
huyo picha ya kwanza anaechungulia mlangoni sijui ataka ahakikishe kila kifaa kinatamkwa sawasawa isije ikawa electoniki ya muro
ReplyDeleteMAGARI YA AINA HIYO YANAPENDWA NA WEZI KWANI YANA SOKO HUKO ARUSHA, MOSHI NA MWANZA. NAKUMBUKA TULINYANG'ANYWA GARI KAMA HILO MWANANYAMALA USIKU TUKITOKA KAZINI NBC HEAD OFISI. TULIKUWA TUNARUDISHWA MAJUMBANI NA GARI KAMA HIZO USIKU TUKIMALIZA KAZI BASI ILE TUNAMSHUSHA MFANYAKAZI MMOJA WAKATOKEA WATU NA MAPANGA, BUNDUKI NA RUNGU WAKATUAMURU KUSHUKA NJE YA GARI NA ATAKAYE BISHA ATAULIWA NA MAGUMI NA MAKOFI YALITEMBEA KIDOGO TUKAPIGWA CHINI WAKAINGIA NDANI YA GARI HAO WAKACHICHIA NALO, NA YOTE YA NBC HQ YALIIBIWA HUO ULIKUWA MWAKA 1999 HADI 2001 YOTE YALIIBIWA
ReplyDeletemajambawazi wa magari wana yapenda sana hayo malandcruiser wenyewe wanayaita mkonge nafikuri wnaita mkonge kwa ajili ya hilo dude jeusi mbele ya gari hayo magari na sukari huku rwanda na burundi wanpata hela nzuri sana vile hapy magari ni imara sana na ya bei nzuri sana kwa biashara yao ya uchori
ReplyDeletemdau former bibi wa jambazi