
Mwanamitindo wa kizazi kipya Tanzania www.chichialondon.com anawashukuru wote waliohusika katika mafanikio ya maonyesho ya ubunifu wa khanga Denmark na London-UK.
khanga zote zimetoka ZANZIBAR na kutengenezwa DAR ES SALAAM kufuatana na ubunifu wa mwanamitindo. Mvutio mkubwa wa mahitaji ya nguo zilizobuniwa imembidi mwanamitindo kwenda Zanzibar mwishoni wiki hii.
Kwa wahusika wote wenye uwezo wa kuliongeza soko la khanga Zanzibar watakuwa wameendeleza maendeleo ya wabunifu wetu wa kizazi kipya ambao wengi wao wanataka kurudisha utamaduni wetu wa soko la nguo za nyumbani.
YOUTUBE VIDEO:
Michuzi snr:
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/03/christine-mhando-chichia-katikalondon.html#comments
Chichia Tiddo Mhando
www.chichialondon.com
+447930333784
YOUTUBE VIDEO:
Michuzi snr:
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/03/christine-mhando-chichia-katikalondon.html#comments
Chichia Tiddo Mhando
www.chichialondon.com
+447930333784
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...