wafanyakazi wa kiota maarufu cha FIFA CLUB kilichopo Kijitonyama jijini Dar leo wakiweka mambo sawa baada ya tenti lao kupata kwikwi ya kuporomoka na kusababisha dhahama kiasi jioni hii. Bahati njema hakuna aliyeumia swala magari yaliyoegeshwa chini yake kupata madhara. Ikaamuliwa tenti lifunguliwe na kujengwa upya ili kuepusha kwikwi ya aina hiyo baadaye
tenti la FIFA CLUB likiwa limekaa adijojo leo baada ya kuporomoka

ila ankal mjinga wewe?!hahahaaa
ReplyDeletehujatulia kabisaaaa
hahahaaa
sio adijojo ni alijojo.
ReplyDelete