KUNA TETESI AMBAZO ZIMEIFIKIA GLOBU YA JAMII TOKA MAPEMA ASUBUHI KWAMBA KUNA KIONGOZI MASHUHURI AMEFARIKI HUKO LONDON, UINGEREZA.
HADI SASA HABARI HIZO ZINAENDELEA KUSAMBAA KWA NJIA YA SMS KAMA MOTO WA NYIKA, NA GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUSAKA UKWELI WA MAMBO KWANI HAIWEZI KUTANGAZA KITU HADI KIWE CHA UHAKIKA WA ASILIMIA 110.
HIVYO WADAU MSIWE NA WASIWASI GLOBU YENU YA JAMII IPO MZIGONI NA TAYARI IMESHATUMA RIPOTA WAKE WA LONDON AIFANYIE KAZI TETESI HII NZITO
KAMA NI KWELI TULRUDI NYUMA KWA SHEHE YAHYA ANAROGA WATU WAFE ILI APATE SIFA ZA UTABILI
ReplyDeleteWe Michuzi acha hizo.
ReplyDeleteUmetuma Ripota Landan au Hindu Mandal?
Tehe teh tee te!