KUNA TETESI AMBAZO ZIMEIFIKIA GLOBU YA JAMII TOKA MAPEMA ASUBUHI KWAMBA KUNA KIONGOZI MASHUHURI AMEFARIKI HUKO LONDON, UINGEREZA.
HADI SASA HABARI HIZO ZINAENDELEA KUSAMBAA KWA NJIA YA SMS KAMA MOTO WA NYIKA, NA GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUSAKA UKWELI WA MAMBO KWANI HAIWEZI KUTANGAZA KITU HADI KIWE CHA UHAKIKA WA ASILIMIA 110.
HIVYO WADAU MSIWE NA WASIWASI GLOBU YENU YA JAMII IPO MZIGONI NA TAYARI IMESHATUMA RIPOTA WAKE WA LONDON AIFANYIE KAZI TETESI HII NZITO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KAMA NI KWELI TULRUDI NYUMA KWA SHEHE YAHYA ANAROGA WATU WAFE ILI APATE SIFA ZA UTABILI

    ReplyDelete
  2. We Michuzi acha hizo.

    Umetuma Ripota Landan au Hindu Mandal?

    Tehe teh tee te!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...