wanenguaji wa twanga pepeta wakiwajibika

Kampuni ya African Stars Entertainment kupitia band yake African Stars Band "TWANGA PEPETA" imeanzisha utaratibu wa kuchagua mwanamuziki bora wa kila mwezi ili kuongeza motisha na bidii ya kufanya kazi ndani ya band.
Mambo yote yataanzaia Siku ya Mwafrika ya kila jumatano ndani ya ukumbi wa Club Billicanas.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...