Home
Unlabelled
UKINGO WA BARABARA YA OCEAN ROAD LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
barabara ya ocean road ...heheeh kweli tambarare hapo ...mbona umerudia neno moja mara mbili tofauti
ReplyDeleteMambo hayo. Uwajibikaji mpaka wakumbushwe!! halafu ikifika mei mosi wanataka zawadi za ufanyakazi bora na kuongezwa mishahara.
ReplyDeletedisminder.
yaani hapo kazi ndogo tu ni kuweka majiwe flani hivi makubwa kama nilona capetown south africa kuna sehemu kama hio cape point nafikiri wameweka concrate moja kubwa maji hayawezi kipita hapo mpaka aje muwekuzaji ndio kitaeleweka,wakati wizara ya miundo mbinu ipo tu,bongo tambarare sijui mpaka lini
ReplyDeleteSio barabara ya ocean road kufungwa tu, hata magogoni kutafunwa! ndipo watakuja kujua kwa nini baba wa taifa alikuwa ni 'kiona mbali' alipoamua magogoni ihamishiwe idodomya! baba wa taifa aliishaona hata haya mambo ya tsunami ambayo watu leo wanaduwalia, ukiweka kando ya flyovers. kalagebao
ReplyDeleteWhat is the priority for Tanzania???
ReplyDeletePolitics, blabla bla bla....or what?
Infrastructure development is the key issue in any economy..A simple attention to the road like this will take years for Tanzania to attend...but the leaders and politicians are willing to sacrifice Billions of Tanzania shillings and foreign currecy reserve for unnecessary and unproductive trips abroad....
If I understand correctly this is the way to government offices, state house, hospitals and city centre....Tanzania is real insensitive on serious issues.
sasa kwanini? huu ukuta wa mawe aungezwi kujengwa kwa kuupandisha juu!!bongo jamani! haya tutafika tuuu
ReplyDeleteNO WAY!!!! Yaani Ocean Road imeliwa hivyo? Hvi priorities za serikali ziko wapi? Posho na magari ya fahari kwe kila mbunge!
ReplyDeleteSea Walls sio solution pekee kwa sea erosion. Ni lazima wazuie mawimbi ya bahari toka baharini kwa kutumia dikes kama Holland baada ya kujua mwenendo wa mawimbi.Pesa zote walizotumia kujenga ukuta zinapotea bure. Tatizo hili limekuwepo tangu wakati wa Nyerere kinyume na maoni hapo juu; Jiji lilisimamisha matumizi ya beach ya ocean road kwa sababu ya erosion.
ReplyDeleteSio kosa la maofisa wa miundombinu . hawa watu waliwekwa bila kuwa na uwezo ila walikuwa wanatafutiwa ulaji tu. Miundombinu haina msimamizi iko wazi. Tuma application. Waliowekwa waliwekwa kwa lengo lingine sio miundombinu.
ReplyDeleteSi mnajua tena....... Vyeo vya TZ ni ulaji tu sio kazi.
Nyie mlioona hali hiyo mjitolee kutengeneza. Hakuna mtu kule. Hakuna anayejali. Mpaka barabara inamegwa hivi!!! Kama kungekuwa na ofisa angeshughulikia.