



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
du huyu frank machozi kwa kujirusha ka amezidi yaani jamaa anasafiri kula raha alikuwa london mwezi huu kwenye traffic light party,hivi shughuli zake ni nini hasa?michuzi usinibanie na wewe ndio hao hao
ReplyDeleteAnkal na Wadau wengine mbona ni kitambo kirefu mkmusicgalaxy.com ina kwikwi? au wamebadilisha link zao?
ReplyDeleteKwa mdau yeyote anayejua website ya miziki ya ki-bongo(bongo flavour,zilipendwa n.k) anirushie link.
Mdau Zurich
Wanadamu ni wanyama ambao huishi kimakundi makundi kama ng'ombe, mbuzi, kondoo, nyumbu, nyati, swala, paa, pundamilia, twiga, tembo, na kadhalika.
ReplyDeleteKatika makundi makundi ya binadamu kuna yale ya maamuma na viongozi mathalani wanasiasa, waumini waswahalina na walokole, mashabiki na wanazi wa michezo na kadhalika.
Huku kwetu Tanzania miaka ya karibuni tunaweza kusema kuanzia mwaka 2005 na kuendelea limechipukia hili kundi ambalo kila kukicha wamo maradioni, televisheni, magazetini, mabloguni, na kwenye tovuti mbali mbali. Shughuli yao kubwa ulimbwende, muziki au ubibi uzuri.
Kundi hili limebarikiwa kupata wahisani na wafadhili ambao huwaandalia mafunzo, hafla na tafrija kubwa kubwa kwenye kumbi na mahoteli makubwa ya kifahari ambapo wengi wa washiriki wasingeliweza kufika kupitia vipato na wasifu wao binafsi. Makampuni ya vinywaji na mawasiliano hususani pombe na simu za mkononi ndiyo wafadhili na wahisani wakuu wa shughuli za kundi hili.
Sijui asilimia ngapi ya wanakundi hili ambao wanajua kiukweli kweli wanachofanya aidha iwe muziki kama ni wapiga ala au waimbaji stadi. Kama ni walimbwende kama ni wabunifu kweli na wanaoweza kutofautisha kanga na kitenge, au kitambaa cha pamba na hariri, kutia rangi nguo, au kushona. Au kutofautisha kiatu cha kokoko na makubazi. Kujua tofauti kati ya utuli na utuli, au mafuta ya nywele na ya mwili, au krimu ya uso na ya mwili, au wanja na mdaa.
Inawezekana kuwa wanakundi hili wengi ni wajuzi katika fani zao pia inawezekana kuwa wengi hawajui wanafanya nini haswa.
Bahati mbaya kwa sababu "zilizo juu ya uwezo wetu" wanazuoni wetu hawafanyi tafiti nyingi za kina kwenye social psychology au sociology. Kundi hili linaweza kuwa na athari chanya au hasi kwenye jamii yetu.
JOHN MASHAKA, EMBU ANDIKA AYTIKO KUHUSU HAWA WAPENDA STAREHE NA MARAHA NDANI YA ROHO. KILA KUKICHA SIJUI MI AWADI GANI. ELIMU HAWANA, KAZI ZA MAANA ZIIII, KAAZI KUUZA SULA TU, WABONGO BANA
ReplyDelete...mdau wa Sat Mar 20, 06:54:00 PM acha kuzunguka mbuyu....lete conclusion !!!
ReplyDeletejamani si muende huko moshi mukasiadie hata kujenga shule na misaada mengine kwa jamii, starehe tuuuuuuuu na wakati wenginee wanaesabu tu siku
ReplyDeleteswali la kizushi, kondomu ziligawiwa huko??
ReplyDeleteuwiiiii nini hiki tena???
ReplyDeleteheeeeee
wee mdau 3:39pm mbavu zangu kwi kwi
una visa?!!
Uncle Nanihii = X
ReplyDeleteShangazi Nanihii = y
If x ni shangazi wa Z
Na y ni uncle wa Z
Na wote x & y wana-surname ya Nanihii;
But X = Ankal Michu,
Je Y ni nani?
kwani Mussa wa TBC1 na Masoud Kipanya ni ndugu? nisaidieni jamani
ReplyDeletealiyeuliza kuhusu Condom ana akili sana, maana waliokusanyika hapo mostly clouds ambao kila mtu anatembea na kila mtu na akili za most of them ni ktk chupi.... msonyo!!
ReplyDeletedunia hiiiiiiiiiiiiii God help them wamemaliza mamisssss sasa ni zamu ya wasiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDelete