Juu na chini ni Walimu wa mchezo wa mbio za Baiskeli wakiwa wanapewa mafunzo ya vitendo katika uwanja wa Soweto jijini Arusha na kocha kutoka katika timu ya taifa ya Uingereza Richard Shepherd (wa pili kuume) ambaye ameletwa nchini kwa ajili ya kozi hii na chama cha mchezo wa baiskeli dunia kwa kushirikiana na kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha


mnatafuta kutengeneza mabusha artificial kwa bara bara gani hasa mtaendesha hizo baiskeli?\lakini kwa kuwa opesheni ya hivyo vibaluni ni bure mjitahidi.
ReplyDeleteMZAZI CHOPANGA.