kutokana na wingi wa habari na taswira katika ukurasa
huu wa kwanza habari huingia kwenye
hifadhi ya Globu ya Jamii.
Ili kuzipata BOFYA HAPA kisha fuata maelekezo utayoyakuta hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi sioni hata unaachoelezea. Naelewa kuwa umeweka chache hapa ili site iwe inadownload haraka lakini zamani ilikua ukienda kwenye kumbukumbu inakupa habari zote za kutoka mwezi mzima. Au kama ni mwezi huu huu inakupa basi toka taree moja na ndio mablo yote yanafanya kwenye archive.....hapa siku hizi kila mwezi inakupa habari za siku mbili au tatu tu...habari z nyuma haziji.

    Na unaposema tukitaka kusoma habari fulani tusearch kama nataka kusoma tu habari zingine in general au nilimiss wek moja bila kusoma na sijui kilichonipita humu itakuaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...