Nakuchukua fursa hii kuwataarifu Watanzania waishio Reading ya kuwa tutakuwa na mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading tarehe 24/04/2010. Kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza form iliyopo kwenye blogu ya jumuiya na kuirudisha kabla ya tarehe 20/04/2010.

Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mtanzania mwenzako ili kwamba aweze kuingia katika mchakato huu. Form zirudishe kwenye email ya Jumuiya na kama una maswali yoyote yale basi usisite kuwasiliana na viongozi.

NAFASI ZA KUGOMBEA NGAZI YA JUU
1:Mwenyekiti
2:Makamu Mwenyekiti
3:Katibu
4:Katibu Msaidizi
5:Mtunza Hazina/Msaidizi

WAJUMBE
Nafasi Tano za wajumbe

UKUMBI :ODD FELLOW HALL,
118B OXFORD ROAD.READING, RG1 7NQ
Mwisho wa Russell Street opposite American pool.

MUDA:16PM-19.00PM (ZINGATIENI MUDA)
TAREHE:24.04.2010

Samahani kwa usumbufu mtakaoupata.
--
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
www.tanzaniaassociation-reading.blogspot.com
07954563709,07876126862,07888841971
07799212095(Mratibu wa Uchaguzi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...