Home
Unlabelled
haibiwi mtu hapa ng'o!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahahaha naona gari la zamani la Dk Remmy Ongala"Baba'ko analo".Imenipeleka zamani saaaana. Anyway, inaelekea huko zilipotoka hizi picha wana watu wasio na akili,mtu akitaka kuliiba gari lako ataliiba tu.Marekani kuna hii system ya ONSTAR yenye tracking device inayoweza kusaidia kujua sehemu gani lilipo gari na bado watu wanaibiwa na kushindwa kuyapata magari yao itakuwa ujinga huu.
ReplyDeleteHizo za chini siunakata tu mnyororo. hahaha baba yangu hana hilo ngoja tu tuendeleo na besikeli mkulima.
ReplyDeletehiki kibajaji"baba'ko analo"sio mchezo,yaani jinsi kilivyo tu hakuna atakaye iba!hata pale mlimani city itakuwa komesha!
ReplyDeletehahahahahah yaaani leo nimecheka sana mpaka mbavu zimeuma, Uncle kwa mazingira ya Mwl. julius Nyerere airport ,tutapaki vipi haswa kwenye busy day za emirates,qatar airways flights?
ReplyDeleteyaani hii kiboko nimeipenda ,haibiwi mtu ng'oo...