viro oye!
holaa!

kudadaddaddadaadeki...
maswaliiii?
babaa'ako analo?





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hahahahaha naona gari la zamani la Dk Remmy Ongala"Baba'ko analo".Imenipeleka zamani saaaana. Anyway, inaelekea huko zilipotoka hizi picha wana watu wasio na akili,mtu akitaka kuliiba gari lako ataliiba tu.Marekani kuna hii system ya ONSTAR yenye tracking device inayoweza kusaidia kujua sehemu gani lilipo gari na bado watu wanaibiwa na kushindwa kuyapata magari yao itakuwa ujinga huu.

    ReplyDelete
  2. Hizo za chini siunakata tu mnyororo. hahaha baba yangu hana hilo ngoja tu tuendeleo na besikeli mkulima.

    ReplyDelete
  3. hiki kibajaji"baba'ko analo"sio mchezo,yaani jinsi kilivyo tu hakuna atakaye iba!hata pale mlimani city itakuwa komesha!

    ReplyDelete
  4. hahahahahah yaaani leo nimecheka sana mpaka mbavu zimeuma, Uncle kwa mazingira ya Mwl. julius Nyerere airport ,tutapaki vipi haswa kwenye busy day za emirates,qatar airways flights?
    yaani hii kiboko nimeipenda ,haibiwi mtu ng'oo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...