intavyu ya Director wa filamu ya Lovely Gamble kutoka Kenya, Bw. Rennison Okemwa, akitoa mtazamo wake kuhusiana na filamu hiyo wakati akihojiwa na Jestina George. Intavyuu hii pia itakuwa hewani katika ukumbi wa Billicanas jijini Dar leo kuanzia saa tatu usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bwana Rennison, maelezo yako yamenichanganya kwa kiasi fulani. You made it sound like the movie isn't about LOVE & MUSIC but rather either LOVE IN/WITH MUSIC or MUSIC IN/WITH LOVE based on how you elaborated on the prime notion/theme i.e. LOVE AND MUSIC. But I believe this is minor, and it might as well be a misunderstanding only on my part. All in all, congratulations for the job well done, BRAVO!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Jestina kwa interview makini iliyofanywa kwa kitaalam. Niliiona hii kwenye blog yako wiki kama mbili zilizopita, ila nilipojaribu kuweka comments nikakuta kuna vikwazo kemkem! Well done, keep up the good work.

    Mdau
    London

    ReplyDelete
  3. vitu kama hizo,

    ReplyDelete
  4. Kiswahili ni lugha ya saba duniani, kwa sababu ni lugha ya kimataifa, kwa hivi sasa mataifa mengi sana yanajifunza lugha hii, pengine inaweza ikasogea kutoka saba mpaka tano kwani kinazidi kukua siku na siku,lakini wenzetu wengine wanakizarau, angalia china,mexico,italy,dubai,japan,na korea, yaani uwezi amini unapo kutana na injinia wa kijapani ambaye amefuzu shaada yake kwa lugha ya kikwao na afanya mambo makubwa ya kusaidia ulimwengu,yote hayo kwa sababu elimu yao inapelekwa kwa lugha yao huku kingereza kikibaki lugha ya pili!!!
    Ni hayo tu ila nampongeza sana huyo dada aliyekuwa ana muhoji huyo jamaa yeye alikuwa upande zaidi wa kiswahili, nilikuwa naangali na jamaa wa poland wlimsifia sana kwani jamaa wanajifunza kiswahili hivyo wakimsikia mtu anazungumza kiswahili wanamfagilia sana!!!!!!
    mdau Poland

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...