JK akiongea na wanahabari juu ya faida za mkongo wa mawasiliano (fible optic cable) siku alipozindua kituo kikuu cha wasambazaji wa huduma hiyo Seacom huko Kunduchi jijini Dar mwzi Agosti mwaka jana. Haya na mengi mengineyo unayapata katika channel ya Youtube ya Globu ya Jamii.
Home
Unlabelled
JK aelezea faida za mkongo wa mawasiliano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapa Kikwete ana prove kuwa ni mwalimu mzuri sana wa kuweka mambo sawa hata mbumbumbu anamwelewa. Poa JK
ReplyDeletesahihisho kidogo: Fibre Optic Cable (sio fible).
ReplyDeleteWow that is real progress, ila mimi swali langu moja, sasa tutfaidije hiyo fibre optic internet kama hata umeme wenyewe wakuendeshea computer hamna?!?? mammbo kutwa ration au hamna kabisa sehemu nyingine,ni muhimu kwanza JK apambane na Tanesco, watatue more effective ways of producing umeme ndo tuweze kufaidi haya maendeleo ya kitekenolojia...mdau
ReplyDeleteHaya maneno yalisemwa mwaka jana na Mheshimiwa Rais, sijui maendeleo yake yamefikia wapi? Manake maneno bila vitendo ...
ReplyDeletehuu mkonga/mkongo mbona haufiki mikoani???
ReplyDeletena hatujaona speed wala nini
I was very excited with explanations from our President.His brain is very smart as he has explained all facts about the advantages of fiber optic cables in communication,as if he is professional on that.
ReplyDeleteI believe that the Minister could not explain the facts the President did.This president is right for Tanzania at this period.Thanks GOD for giving us such a president.
LONG LIVE MR PRESIDENT KIKWETE.