Mzee wa Libeneke leo ilikuwa kasheshe huko Tabata relini. Sijui kinachoendelea huko hivi sasa kwani nimetokea dirishani kuja kutuma ujumbe huu. Mdau Kavishe TMSL
Sent from my BlackBerry® smartphone
kiwinta toka nyuzi joto 31 hadi 25 ni balaa...
mvua kutwa nzima leo dar
mama wa foleni zote kaonekana kila kona...
trafiki akilalamikiwa kwa kupendelea upande mmoja tu karibu na faya. hapo ni baada ya wadau kusota waya kwa masaa matatu sehemu hiyo tu...
masaa matatu toka kati ya jiji hadi mtaa wa lumumba street...
Bongo tambarare!






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Wezi wa side mirror leo meno nje nje.

    ReplyDelete
  2. Michu
    This is bongo, the only country under the sun where, the majority suffers from poor road transport infrastructure albeit if you dig at every soil of the country a mine is there. The question is…where those bucks go…in few greedy people pockets. I can’t fight back my tears seeing people spend 3 hours just to commute from Posta to Sinza…reasons behind…a traffic just caused by a rain…where the flyover,, where high speed lanes promised during 2005 elections?...Are our country going up or down….?
    Tanzania being solely country in the planet Earth riches with Tanzanite mine, why don’t we use the available raw material to make our country develop? Please please….God God God open eyes to our fellow citizens during this 2010 election so can elect a president who will shed a light and give us a path to the new direction…

    ReplyDelete
  3. sio side mirror jamani! ni sight mirror! kweli mbongo tabalare!

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kiinglishi, ulipoanza na "This is bongo..." nikaanza kufuatilia meseji, lakini punde nikaanza kuchanganywa changanywa na mpangilio wa maneno na matumizi ya sarufi. Then nikasema, anyway, acha nisome tu, ndio kazi yangu and DIS S BONGO neway, au sio?!

    Mwalimu Komba.

    ReplyDelete
  5. Tulipoona tuna tatizo la barabara mbovu tuliona tuwakopeshe wabunge mashangingi ili waweze kuhudumia wananchi kwa urahisi.
    Sasa hivi tumeona tatizo jipya la foleni barabarani. Wakati umefika tuwakopeshe wabunge wetu edikopta.

    ReplyDelete
  6. .......mtokama kuringa!!!nchi kama haina viongozi bwana.

    ReplyDelete
  7. JANA NDOA YANGU NUSURA IVUNJIKE

    ReplyDelete
  8. Kwa ile lugha yetu ya humu kwenye blogu ni kweli ni SIGHT MIRA.

    ReplyDelete
  9. Eti MTAKOMA KURINGA!!!!!!!!???????

    ReplyDelete
  10. i hope mmesikia taarifa nzuri ya REDET kuwa umashuhuri umeongezeka...

    ReplyDelete
  11. mtakoma na dar lenu,ilhali hamna hata vibanda vya vekesheni mikoa mingine au chenji za kwenda mamtoni kupumzika

    shenzy taipu viongozi na mashangingi yao

    ReplyDelete
  12. mji lazima upanuke....siyo lazima uende kariakoo kushop...tupanue mji kuna maeneo sinza ubungo mbagala kawe kunduchi kiwalani gongo la mbot nk

    ReplyDelete
  13. huyu mwalim Komba itakua ni yule aliyetufundisha English kinondoni Muslim.

    ReplyDelete
  14. Michuzi Ongera sana umekiuwa ukituletea bahari nzuri, Keep it up...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...