Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mkwala mbuzi tu huo kuna moja niliona Mbwa wa polisi kapigwa roba mpaka polisi anataka kulia. mbwa akija unampa shaba moja mpaka mbwa aliyebakia anageuza. Baba ubaya

    ReplyDelete
  2. HAYO NI MAZOEZI TU, KWENYE NGOME YA KWELI JAMBAZI ATAKUBALI MBWA AMRUKIE TU KIIVYO WAKATI ANA KINANDA MKONONI SI ATAMPASUKA KISWA KA NAZI

    ReplyDelete
  3. hao ndo mbwa tunaowataka ,sio mbwa wa kutegua mabomu kama mliotuonesha....tunaitaji kuwa na mbwa kama hao kukomesha ujambazi na ufisadi wa kila aina,
    MDAU-DRESDEN(GERMANY)
    NETWORK ENG.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...