Imetimia miaka 13 leo tangu Mwenyezi Mungu alipokutwa. Haupo nasi kimwili lakini daima u mioyoni mwetu. Endelea kupumzika kwa amani hadi tutakapokutana tena Amen
Unakumbukwa daima na mke wako Beatrice Perpetua Makani
Watoto wako
Reena, Austin, David, Anthony
Wajukuu
Nicola, Natasha, Shola, Melody, Trinity
Wakwe
Harry, Becky
Ndugu, marafiki na jamaa
RIP beloved



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...