Ankal Michuzi!Natumai unaendeleza libeneke kama kawa kwenye blog yetu ya jamii.Naomba uwatambulishe wanajamii libeneke jipya la online shopping website:
www.kivuko.com
Ndani ya Kivuko kuna bidhaa mbalimbali kama laptops, jewelry, Kamera, nguoza watu wote, simu n.kHivyo wadau wanaweza kuorder bidhaa nasi tunawaletea mpaka mlangoni yaanihakuna haja ya kuzunguka madukani tena.Tunapokea malipo kwa njia tofauti,Mpesa,benki,credit card,Paypal.

Tunatoa huduma baada ya manunuzi,"onsite installations" ya vifaa vikuwavya electronic na huduma nyingine nyingi.Jiunge sasa kufanyamanunuzi kwa njia ya mtandao kwa njia ya kisasa,kwa usalama na upatehuduma bora.Nashukuru sana Ankal na nakutakia kazi njema!

Physical address:
Kimweri Avenue Block 575,
Msasani, Kinondoni District,
Dar es Salaam - Tanzania.
Phone:+255715324436
Email:info@kivuko.com,
NOTE:Tunatoa discount ya 5% kwa watembeleaji wa michuziblog hadi mweziMei 2010. Yaaniukikamilisha oda yako,sehemu ya coupon andika neno:michuziblog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mama WatotoApril 21, 2010

    Kivuko, malipo kwa ZAP bado?

    ReplyDelete
  2. Bei ndugu, mbona kwa watanzania wa kawaida ni mzigo.

    ReplyDelete
  3. JE KWA WATU WA MIKOANI WANA PATA PIA UDUMA YA KULETEWA VIFAA AU MPAKA TUJE DAR?

    ReplyDelete
  4. Mbona prices in US Dollars? Tshs hampokei?

    ReplyDelete
  5. @mama watoto,

    Kivuko inapokea malipo kwa njia ya ZAP Tazama ukurasa wetu wa malipo kwa taarifa za jinsi ya kulipia oda yako.

    ReplyDelete
  6. mbona bei zote ni za kizungu madafu je???

    ReplyDelete
  7. @anon wa 2:48PM

    Tunapeleka hadi mikoani,tuna branch dodoma na Kilimanjaro,muda si mrefu wadau wa mwanza watanza kupata huduma za kivuko kutokea kanda ya ziwa pia.
    tunatuma hadi mafia,kama uko ndani ya jamhuri ya muungano wa tanzania wewe ni mteja wetu na tutahakikisha tunakufikia.

    @anon wa 6pm,bei zipo in Tshs pia,bonyeza bendera ya Taifa upande wa kulia,bei unaletewa kiingereza kwa kuwa browser yako inatumia locale ya kiingereza.

    @anons wa 2pm

    Tunapokea malipo in Tshs,hizo usd ni kwa reference tu,tazama upande kwa kulia kwenye homepage,utaona bendera ya Tanzania,baada ya hapo kila bei itakuwa in Tshs,

    actually hatupokei USD kwa wateja waliopo tanzania,tunapokea $ kwa wateja wa nje ya Tanzania tu.

    Tunajitahidi kuweka vitu kwa ajili ya watanzania wa kila kipato,bei zetu si rahisi kama ilivyozoeleka kwani hatuna bidhaa feki,kwa wanunuzi wa bidhaa genuine/original tuna bei nafuu zaidi.

    Kuna baadhi ya vitu tunajitahidi kuweka vya gharama ndogo ili watanzania wengi zaidi waweze kumudu.

    ReplyDelete
  8. Hongereni kwa huu mtandao wa biashara.

    I have a few questions around logistics.So what's the deal with shipping costs? Can a buyer know what shipping costs would be at the time of placing an order considering that different buyers are in different locations? Do you have a contract with a reputable courier who is willing to offer discounted pricing?If not pls do so, shipping costs can make or break a retail deal. Who bears shipping costs, buyer or seller? How many days does a buyer have to decline a product upon receipt?Who is responsible for shipping costs in a return/decline situation? Any re-stocking fee?

    Great initiate and good luck!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. I was testing the check-out feature and I put Dar as my city but just below it there is a field for zip code, apparently it is a mandatory field, hapo inakuwaje?

    msaada tafadhali.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  10. @US Blogger

    1.We do have a few couriers interested with working with us,such efforts are at infancy.hence the cry for our higher shipping fees.
    Although kivuko savings starts for as low as 5,000.and we have merchandise that qualifies for free shipping.

    Shipping costs,Taxes,Complete order details are known before the order is placed.that is once you reach the final page of the checkout process we present you with a very clear detail of all costs involved and shipping methods/time used.

    Buyer have seven days to return mostly new/unused product if there was an error in our end.we hope we will become big enough to offer 7 days return policy with no questions asked.BUT i believe even amazon are not big enough to accept broken merchandise.

    in a return situation we are responsible for all costs endured.and no restocking fee.

    and for the ZIP CODE thing..,just put +255,that will do for now.

    (ndugu zangu wa Marekani/EU mtusaidie kwa wale wanaotaka kuja kujaribisha mashati ofisini/dukani kwetu.)

    Hatuna huduma hiyo,tunauza kila kitu online,tunafanya hivi ili kuondoa gharama za kuwa na wahudumu wa kukusaidia kufanya hivyo,na kuwafikia watu wengi zaidi.

    Unaweza kufika ofisini kwetu kupokea bidhaa uliyonunua.kwani ofisini kwetu sipo tunapoweka bidhaa.Tuna warehouse kwa ajili ya bidhaa zetu.

    ReplyDelete
  11. Thanks for clarification.

    I appreciate your responsensiveness and sense of prompt customer service.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...