wa Msasani makuti hall jijini Dar wikeidndi ilopita
Home
Unlabelled
JULIANA AWAKAWAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! kazi kweli kweli
ReplyDeletekweli unawakawaka umependeza saaana.
ReplyDeleteMungu awatangulie katika maisha yenu mapya msimsahau Mungu pia upendo usipungue daima, msamaha na uvumilivu ni kitu cha muhimu
hongerani sana mmependeza sana
ReplyDeletebi harusi umependeza sana and your so prety, na harusi inaonekana imeandaliwa vilivyo, mungu akujaaliye mume mwema mdogo wangu, na pia usiache maombi kwani ndio nguzo kubwa katika ndoa. mungu aibariki ndoa yenu na akuondolee husda za binadamu wabaya, na akujaaliye uvumilivu katika ndoa yako kwani maisha ya ndoa sio lele mama. dada n London.
ReplyDeleteSIKUJUA KAMA RANGI NYINGINE ZINAPENDEZA HIVI. MMEPENDEZA SANA!
ReplyDeletemmpendeza sana na karibuni kwenye matatizo
ReplyDeletehayawihayawi mbona yameekuuua... kwaheli mama yangu kuonana majaliwa, ntarudi nyumbani kutembea...
ReplyDeleteHongera Juli, pia Baraka umepata kifaa!
Hongera
yeah bibi harusi kapendeza na amejua nini cha kumvalisha mtarajiwa wake. nawatakia kila la kheri katika maisha mapya mnayotaka kwenda kuyaanza na asikuambie mtu bwana ndoa tamu. kauli zako tu ndio utaona ndoa mbaya na ukiruhusu shetani akutawale ndio kabisaaa umemfanya huyo mtarajiwa kutafuta ambaye atambembeleza. naomba kuishia hapo kwani nadhani mambo yote umeshaelezwa na wakubwa zako.
ReplyDeleteIla asije akaja kidudu mtu akakuambia weye kwanini umeolewa muulize kwani yeye hataki au hajapata?
michuzi,hii blog ni WORLDWIDE,kwa hiyo jaribu ku-post kwa ethics za kimataifa,picha lundo kwa shuguli mmoja tu na just a mere wedding/sendoff-michuzi you can do better then this
ReplyDeletewe hapo juu,
ReplyDeletemawivu tuuuuuuuuuuuu!
wabongo bwana!
Mh..Julianaaa
ReplyDeleteWADAU NISAIDIENI NITAPATA WAPI MCHUMBA NA MIE 32 YEARS SASA PLEASE
ReplyDeletewamenoga saaana...NIMEZIMIA CAKE!!
ReplyDeleteJamani binti kapendeza,na huo ujicho si mchezo.Hongera sana juliana Mungu awajalie ndoa njema isiyo na doa.Ni mimi mdau mwenzio pale zanaki girls 1996-1999 class MA.
ReplyDeleteHiyo ni send-off tu; je harusi itakuwaje? Masha Allah!
ReplyDeleteKWA HARAKA NILIDHANI MWOAJI NI RAY KIGOSI!
ReplyDeleteusipate taabu mdogo wangu. umependaza sana.
ReplyDeletemichuzi mimi ninataka sana kumpa ponzi bibi harusi. Asante michuzi
ReplyDeleteSaidi acha sound,mchumba hatafutiwi kama kazi.. omba Mungu utapata.
ReplyDeleteUmependeza sana Juliana. Kumbe shopping ya Marekani inalipa. You look so pretty. I like the hair style is simple and nice. Umetoka mwaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteBaraka, na wewe umependeza.Mungu awajalie maisha ya ndoa ya furaha na upendo.