Chef Issa

Wadau wa Globu ya Jamii nina imani ratiba hii ya maakuli mtaipenda sana kwa kua ipo katika lugha ya kiswahili na vyakula ni vile vile ambavyo voye vinapatika nyumbani Tanzania na kwingine kokote duniani. Yaani hata kariakoo sokoni vyote vinapatikana kwa bei nafuu.

Mafunzo jinsi ya kuandaa kila siku tutakua na funzo la siku hiyonitaweka post kuaznia leo kwa ratiba ya j3 tembelea blog IFUATAYO kwa maelezkezo jinsi ya kuandaa.

www.activechef.blogspot.com
Nitaweka mafunzo jinsi ya kuandaa kuanzia mwanzo mpaka mwisho namahitaji yote pia nitaweka list ya vitu vyote unavyotakiwa kununua kwawiki nzima pia ukiniambia idadi na umri wa mtoto ninaweza kukuambiabajeti ununue kiasi gani ili chakula kisikae sana na kisiharibike.
Nawatakia siku na kazi njema
Chef Issa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. miyeyusho tu.

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri chef keep it up

    Mdau Holand

    ReplyDelete
  3. kazi nzuri chef keep it up

    Mdau Holand

    ReplyDelete
  4. We jamaa una roho ya kipekee sana kazi yote hiyo nani anakulipa? machef wengi wachoyo wa taaluma na haya ndio maendeleo au kipimo cha uwezo wa kazi yako huu ndio uzalendo kazana tu mungu takulipa

    Chef Malick williams

    ReplyDelete
  5. Chef Issa you really need to come down to earth...Unazania wabongo wote wana fridge au sijui chakula kinunuliwe kidogo kwa week tu ili kisiharibike ...

    I really appreciate what you are trying to do lakini try to be real na kama umeishi tanzanaia nadhani unaelewa maisha ya mojority of the people...sasa kwa wale tuliojaliwa kutoka nje ya nchi tungejitahidi kubadili yale tunayoyaona yanafaida kwa watu wetu na kuyaweka kwa kulingana na maisha na status za nchi yetu...

    Au blog yako ni kwa high class people tu amaboa wana uwezo wa kufanya shopping ya chakula cha mtoto tu...watu wa middle or low income people nao wanahitaji kufundishwa jinsi ya kulisha watoto(kwanza wao ndio muhimu) kwa vile education yao na awareness yao ni ndogo...

    Hiyo milo watu watachukua na wala hawataweza kutengeneza au watatengeneza kwenye xmass tu....

    First try at a realistic face
    ..

    ReplyDelete
  6. BIG UP BRO UWEZO UNAO KAZI UNAIJUA KOMAA TU HAO WAVIMBA MACHO USIWASIKILIZE TUPO PAMOJA NAWE NA TUNAENJOY SANA TU

    MDAU jAPAN

    ReplyDelete
  7. kwakweli sisi kinamama umetusaidia sana kijana wetu issa mi sina lakusema sasa famili azetu zinafurahi san tu na wamezetu wanarudi nyumabi kula chakula kinabadilika tunafurahia sana mafunzo mungu akutangulie na akupe maisha marefu tunakupenda kwa moyo wako.

    Mama JB

    ReplyDelete
  8. Chef tunasubiri bajeti na list ya vyakula maana ratiba tumeipata na inaeleweka je umeoa? mi ni....... ok fanya kazi kwanza.

    Beauty one!

    ReplyDelete
  9. Exellent chef!

    Usa

    ReplyDelete
  10. hahaahhaaha duh mzee unapika kama nini duh safi sana mzee duh mkeo si anafaidi sana maakuli duh lakini unaoneka uko fiti huna kitambi kmaa machef wengine kuna usemi unasema never trust skin chef ok mzee kaza buti

    Mdau Rusia

    ReplyDelete
  11. ratiba ya sasa inaeleweka kazi hiyo list ya manunuzi tuone je tutamudu? maana kipato nacho kina gomba ila tunawapenda san tu watoto wetu

    mdau Sinza

    ReplyDelete
  12. Anoy - miyeyusho tu.

    Wed Apr 21, 06:08:00 PM

    kwenda zako lete yako basi amabyo sio miyeyusho unakaa katika net za kulipia kuponda kazi za watu.

    pyuuuuuuuuuuuuuuu timua

    mdau Belgium

    ReplyDelete
  13. Nimemcheki mwanao duh mzee ulicopy na kupest duh mzee safi sana na maakuli naona ndio mahala pake

    Kaka Upuju

    ReplyDelete
  14. Kaka michuzi wewe ndio ulimletaga jamaa huyu online kwa mara ya kwanza inabidi akuheshimu sana na ninaona ushirikiano wenu uko safi kabisa kweli tunaenjo sana elimu ya mapishi na mimi kila siku asubuhi na jiioni nafungu ablog ya jamii kisha jioni tu nacheki pishi la leo kisha na print kwajili ya mamaaa kunifanyia mambo

    safi san chef tunakubali kwa miguu na mikono

    Mdau mmatumbi nikiwa Kampala

    ReplyDelete
  15. kinamama umetukomboa sana tu ubarikiwe chef

    Mdau mwanza

    ReplyDelete
  16. Chef mi nawazo muhimu sana naomba ukitoa list ya mahitaji andika mahitaji ya kila siku ilikusaidia mfuko wetu maana wengine kipato chetu ni kwasiku kwahiyo shoping tunafanya kwa mahitaji ya siku usijumuishe mahitaji ya wiki nzima itatusaidia sana ni ombi tu

    Mama TMK

    ReplyDelete
  17. Chef Umeoa? pls pls jibu ni muhimu

    ReplyDelete
  18. Chef fanya mpango wa kuanzisha kitabu ili tuwe na hard copy kwa matumizi endelevu uwezo unao kumbuka sio wengi wanauwezo wa kuingia kwenye internet lakini ukitoa kitabu itakua rahisi kununua na kujifunza kwa kila mtu jitaidi sana chef tupo tutakuunga sana mkono niamini watu wanapenda sana kula vizuri kaka yangu.

    Mdau Dodoma

    ReplyDelete
  19. Excellent.

    Asante sana Chef.

    nami nitachukua course.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...