Mafunzo jinsi ya kuandaa kila siku tutakua na funzo la siku hiyonitaweka post kuaznia leo kwa ratiba ya j3 tembelea blog IFUATAYO kwa maelezkezo jinsi ya kuandaa.
www.activechef.blogspot.com
Nitaweka mafunzo jinsi ya kuandaa kuanzia mwanzo mpaka mwisho namahitaji yote pia nitaweka list ya vitu vyote unavyotakiwa kununua kwawiki nzima pia ukiniambia idadi na umri wa mtoto ninaweza kukuambiabajeti ununue kiasi gani ili chakula kisikae sana na kisiharibike.
Nawatakia siku na kazi njema
Chef Issa
miyeyusho tu.
ReplyDeletekazi nzuri chef keep it up
ReplyDeleteMdau Holand
kazi nzuri chef keep it up
ReplyDeleteMdau Holand
We jamaa una roho ya kipekee sana kazi yote hiyo nani anakulipa? machef wengi wachoyo wa taaluma na haya ndio maendeleo au kipimo cha uwezo wa kazi yako huu ndio uzalendo kazana tu mungu takulipa
ReplyDeleteChef Malick williams
Chef Issa you really need to come down to earth...Unazania wabongo wote wana fridge au sijui chakula kinunuliwe kidogo kwa week tu ili kisiharibike ...
ReplyDeleteI really appreciate what you are trying to do lakini try to be real na kama umeishi tanzanaia nadhani unaelewa maisha ya mojority of the people...sasa kwa wale tuliojaliwa kutoka nje ya nchi tungejitahidi kubadili yale tunayoyaona yanafaida kwa watu wetu na kuyaweka kwa kulingana na maisha na status za nchi yetu...
Au blog yako ni kwa high class people tu amaboa wana uwezo wa kufanya shopping ya chakula cha mtoto tu...watu wa middle or low income people nao wanahitaji kufundishwa jinsi ya kulisha watoto(kwanza wao ndio muhimu) kwa vile education yao na awareness yao ni ndogo...
Hiyo milo watu watachukua na wala hawataweza kutengeneza au watatengeneza kwenye xmass tu....
First try at a realistic face
..
BIG UP BRO UWEZO UNAO KAZI UNAIJUA KOMAA TU HAO WAVIMBA MACHO USIWASIKILIZE TUPO PAMOJA NAWE NA TUNAENJOY SANA TU
ReplyDeleteMDAU jAPAN
kwakweli sisi kinamama umetusaidia sana kijana wetu issa mi sina lakusema sasa famili azetu zinafurahi san tu na wamezetu wanarudi nyumabi kula chakula kinabadilika tunafurahia sana mafunzo mungu akutangulie na akupe maisha marefu tunakupenda kwa moyo wako.
ReplyDeleteMama JB
Chef tunasubiri bajeti na list ya vyakula maana ratiba tumeipata na inaeleweka je umeoa? mi ni....... ok fanya kazi kwanza.
ReplyDeleteBeauty one!
Exellent chef!
ReplyDeleteUsa
hahaahhaaha duh mzee unapika kama nini duh safi sana mzee duh mkeo si anafaidi sana maakuli duh lakini unaoneka uko fiti huna kitambi kmaa machef wengine kuna usemi unasema never trust skin chef ok mzee kaza buti
ReplyDeleteMdau Rusia
ratiba ya sasa inaeleweka kazi hiyo list ya manunuzi tuone je tutamudu? maana kipato nacho kina gomba ila tunawapenda san tu watoto wetu
ReplyDeletemdau Sinza
Anoy - miyeyusho tu.
ReplyDeleteWed Apr 21, 06:08:00 PM
kwenda zako lete yako basi amabyo sio miyeyusho unakaa katika net za kulipia kuponda kazi za watu.
pyuuuuuuuuuuuuuuu timua
mdau Belgium
Nimemcheki mwanao duh mzee ulicopy na kupest duh mzee safi sana na maakuli naona ndio mahala pake
ReplyDeleteKaka Upuju
Kaka michuzi wewe ndio ulimletaga jamaa huyu online kwa mara ya kwanza inabidi akuheshimu sana na ninaona ushirikiano wenu uko safi kabisa kweli tunaenjo sana elimu ya mapishi na mimi kila siku asubuhi na jiioni nafungu ablog ya jamii kisha jioni tu nacheki pishi la leo kisha na print kwajili ya mamaaa kunifanyia mambo
ReplyDeletesafi san chef tunakubali kwa miguu na mikono
Mdau mmatumbi nikiwa Kampala
kinamama umetukomboa sana tu ubarikiwe chef
ReplyDeleteMdau mwanza
Chef mi nawazo muhimu sana naomba ukitoa list ya mahitaji andika mahitaji ya kila siku ilikusaidia mfuko wetu maana wengine kipato chetu ni kwasiku kwahiyo shoping tunafanya kwa mahitaji ya siku usijumuishe mahitaji ya wiki nzima itatusaidia sana ni ombi tu
ReplyDeleteMama TMK
Chef Umeoa? pls pls jibu ni muhimu
ReplyDeleteChef fanya mpango wa kuanzisha kitabu ili tuwe na hard copy kwa matumizi endelevu uwezo unao kumbuka sio wengi wanauwezo wa kuingia kwenye internet lakini ukitoa kitabu itakua rahisi kununua na kujifunza kwa kila mtu jitaidi sana chef tupo tutakuunga sana mkono niamini watu wanapenda sana kula vizuri kaka yangu.
ReplyDeleteMdau Dodoma
Excellent.
ReplyDeleteAsante sana Chef.
nami nitachukua course.
(US Blogger)