mkongwe john kitime akikung'uta mpini huku waziri ally na babu njenje wakinesa wakati wa shoo ya pasaka kwenye kiota cha Manyoya (Salender Bridge Club) jijini dar. bendi hiyo na wadau kadhaa wa old skul wanaandaa shoo ya wanamuziki na maDJ wakongwe mbalimbali siku ya sabasaba katika kile kitachojulikana kama Old Skul Night. mipango zaidi mtatangaziwa baadaye






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...