

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
http://www.youtube.com/watch?v=lOe-3txmBvg&feature=related
ReplyDeletewabeba box burudikeni na kibao hicho cha 20% money money. kwani kinawahusu sana.
Wasiwasi wangu ni jinsi CITY CENTRE YA DAR inavyobadilika bila mpango: (1) Mabomba ya maji taka (sewage system ni ile ile ya 1957); (2) Majumba ya zaidi ya ghorofa 18 yanajengwa wakati idara ya zima moto Dar haina uwezo wa kuzima moto na kuokoa watu zaidi ya ghorofa sita; (3) Parking ya magari hamna; (4) Majumba ya kihistoria na hazina za usanifu majengo inavunjwa bila Idara ya Utamaduni kuulizwa maoni yake. It's worse than Kariakoo lakini it seems that everybody is turning a blind eye to it!!!!!!!!!!! Darlite.
ReplyDeleteHIYO KARIAKOO YA MBAVU ZA MBWA NDO NILIYOIKUTA MIAKA YA 70 WAKATI NATOKA NTWARA ILIKUWA NZURI NA YA UTULIVU SANA, WAKATI HUWA SINZA NI PORINI TU, SASA NI UCHAFU MTINDO MMOJA. ENZI HIZO UNAOGOPA KUPITA MITAA YA OCEAN ROAD KULIKUWA KIMYA KAMA KUZIMU HIVI UKIPITA NYWELE ZINAKUSIMAMA.
ReplyDelete