ankal hakuamini macho yake pale alipotoa oda na kuletewa msosi wa nguvu katika Break Point ya Ukerewe katika mji wa Kusoma. Samaki wa kubanika, ndondo na nyama ya mwitu. hakika wadau wa The New Vincents Restaurant wanastahili pongezi kwa kudumisha mila ugahibuni. endapo kama ulipitwa na stori na taswira za Mji wa Kusoma BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HAYO NDIYO MANENO, SIYO ULE MLENGELENGE WA CHEF ISSA! HAPO SEMBE TU NDO LINAKOSEKANA!

    ReplyDelete
  2. wenzangu wa Reading, hapo kwa 'madrafti' misosi ya kibongo nimewaaminia, nimewakubali. Aliyeanzisha huo mgahawa ameanzisha kitu cha maana sana. Tumechoka kuona wachina, wahindi wakitamba na misosi yao ulaya na marekani. Hongera sana wadau wa mgahawa huo.

    ReplyDelete
  3. kaka hio white ball hapo ndio sembe,ugali kidogo,mboga kibaooo

    ReplyDelete
  4. hii kitu ina mvuto hadi raha hata kama apetaiti haipandi kwa hii hali itakaa level tu hongera sana we mtu mwenye huu mgahawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...