CAROLINA WAGARA MBULLU ANAWATAARIFU WADAU, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWAMBA KUTAKUWA NA MISA JUMAPILI HII YA TAREHE APRIL 25 SAA 10 JIONI(4PM)YA KUMUOMBEA KAKA YAKE MPENDWA CHRISANT(MZEE) WAGARA ALIYEFARIKI GHAFLA JUMAPILI APRIL 18 TANZANIA. MAZISHI YATAFANYIKA SHIRATI,MARA,TANZANIA, LEO IJUMAA APRIL 23

MISA YAKUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKIA
6078 ROCK GLEN DR,
ELKRIDGE,MD,21075,
SIMU 410 300 3275

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Rest In Peace Chris. Chris alikuwa rafiki wangu wa karibu Jitegemee na Sinza. Nakumbuka tulishare dawati O level. Pia mara nyingi tulikutana maeneo yetu ya kujidai mitaa ya Sinza. My prayer are with his family popote walipo.

    Regards,

    Paul Mbenna (Sydney).

    ReplyDelete
  2. Ng'hungulumeApril 23, 2010

    Haki za waandishi inabidi ziheshimiwe!!

    ReplyDelete
  3. Tina MwakibolwaApril 23, 2010

    Pole sana Caro, Gloria na familia yote ya Mzee Wagara, block 41 tumepoteza mdogo wetu. Tupo pamoja katika maombi.

    ReplyDelete
  4. Pole sana Glory jamani na wote kwa msiba huu . Classmate waldorf

    ReplyDelete
  5. poleni sana kwa msiba,caroline,bertha,gloria,tatu,eve na charlie.mnakumbukwa sana na Daulat,Raya,Eshe,Hamida,fid na bi hawa wa block 41.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...