Home
Unlabelled
Tamko la Ruvuma Press Club juu ya Vitisho dhidi ya Mwandishi wa habari wa TBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MIJITU MIKOROFI KAMA HUYU MAMA LAUO YAONDOLEWE HARAKA KWENYE UTUMISHI WA UMMA. AMELEWA MADARAKA SASA ATARUDISHWA KWAO AKIKIMBIA
ReplyDeleteHabari za upande mmoja. Ngoja tusikie upande wa pili nao unasemaje. Tunajua waandishi wa habari mna majukwaa ya kusemea, sasa huyo mkurugenzi atasemea wapi?
ReplyDeleteMama Lauwo enzi hizi ni za uwazi, huwezi kuongoza na kujenga kwa kutishia. Jibu hoja kwa hoja wananchi tumechoka! Wazungu walituuza wakatutawala na ukoloni, wewe leo unataka kutuletea vitisho vya kitwana!?, Hatutaki!. Tumia lugha nzuri na ujibu hoja sio kutuambia tutatambaa ofisini kwako, maana yake nini haswa?.
ReplyDeleteKinachonishangaza waliomteua huyu mama kushika madaraka makubwa namna hiyo walizingatia vitu gani. Sie tuliosoma nae tunajua matatizo yake, na tuliposikia kateuliwa tukajua kinachofuata ni nini. Ninamshauri Waziri wa Tamisemi awe makini anapoletewa watu wa kupewa uteuzi mzito kama huo. Vinginevyo ni balaa maana huyu mama alipomaliza chuo alitangaza tangu mapema kuwa anakwenda kuchuma.
ReplyDeleteHuo ndio mshahara wa kuteuana kwa upendeleo. matokeo yake wanawake wote tunaonekana hatuna uwezo. Mama Macha Upo hapo?
ReplyDelete