CAROLINA WAGARA MBULLU ANAWATAARIFU WADAU, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWAMBA KUTAKUWA NA MISA JUMAPILI HII YA TAREHE APRIL 25 SAA 10 JIONI(4PM)YA KUMUOMBEA KAKA YAKE MPENDWA CHRISANT(MZEE) WAGARA ALIYEFARIKI GHAFLA JUMAPILI APRIL 18 TANZANIA. MAZISHI YATAFANYIKA SHIRATI,MARA,TANZANIA, LEO IJUMAA APRIL 23
MISA YAKUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKIA
6078 ROCK GLEN DR,
ELKRIDGE,MD,21075,
SIMU 410 300 3275
MISA YAKUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKIA
6078 ROCK GLEN DR,
ELKRIDGE,MD,21075,
SIMU 410 300 3275
Rest In Peace Chris. Chris alikuwa rafiki wangu wa karibu Jitegemee na Sinza. Nakumbuka tulishare dawati O level. Pia mara nyingi tulikutana maeneo yetu ya kujidai mitaa ya Sinza. My prayer are with his family popote walipo.
ReplyDeleteRegards,
Paul Mbenna (Sydney).
Haki za waandishi inabidi ziheshimiwe!!
ReplyDeletePole sana Caro, Gloria na familia yote ya Mzee Wagara, block 41 tumepoteza mdogo wetu. Tupo pamoja katika maombi.
ReplyDeletePole sana Glory jamani na wote kwa msiba huu . Classmate waldorf
ReplyDeletepoleni sana kwa msiba,caroline,bertha,gloria,tatu,eve na charlie.mnakumbukwa sana na Daulat,Raya,Eshe,Hamida,fid na bi hawa wa block 41.
ReplyDelete