Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo akifungua mkutano wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wanawake kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha ST. Gaspar Conference Cetre Mjini Dodoma, Aprili 15, 2010. 
Baadhi ya Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wakifuatilia kwa makini mkutano wao huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha ST. Gaspar Conference Cetre Mjini Dodoma, Aprili 15, 2010.


Ukumbi gani huo wa kuwaweka wakatibu wakuu na wao ndo watendaji wa serikali? Yaani wanakaa kwenye vidawati? Aibu sana hiyo....huyo aliyeandaa huo mkutano awajibishwe...!!
ReplyDeletehivi michuzi hii blogu ni ya CCM na misiba? kila mtu atakufa ni kweli lakini humu matangazo ya misiba yamezidi yani blogu hii imeanza kupoteza mvuto watu wanakimbia
ReplyDeleteNa tabia ya kubanabana meseji kila wakati zinaudhi
saaaaaaana wadau ndio maana siku hizi comment kiduuuchu tuna savey tu basi manake tukicomment hata kama meseji haina matusi unabana
huwa unavunja watu moyo saaaaana
ukiibana hii meseji hayaaaa... ukiirusha hayaaaaa....
Mother I'm proud of you !!
ReplyDelete