(1966-2010)
FAMILIA YA KALANJE INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO PAUL TARUMBA KALANJE KILICHOTOKEA SIKU YA IJUMAA KUU TAREHE 2/4/2010 HAPA NYUMBANI UPANGA.
MSIBA UKO HAPO KWAO UPANGA OPPOSSITE NA JESHINI KWA UPANDE WA PILI KAMA UNAENDA DUKA LA MZINGA. HUDUMA YA MAZISHI ITAKUWA KESHO KUANZIA SAA 5 ASUBUHI NYUMBANI HAPO NA BAADAE MISA KANISANI ST.ALBAN KISHA MAZISHI MAKABURI YA WA ANGLIKAN BUGURUNI
KATIKA UHAI WAKE MAREHEMU ALIWAHI KUAJIRIWA PEPSI-MWANZA,NA TAZAMA MOROGORO. HADI MAUTI YANAMKUTA ALIKUWA MJASILIA MALI. PIA AMEWAHI KUWA DJ MWAMZONI MWA MIAKA YA 1980HAPA DAR ES SALAAM.
KWA MAELEZO NA MAWASILIANO ZAIDI>
ALEX KALANJE-MOB 0754-271419

poleni wa kina kalanje wote,mwenyezi mungu ailaze roho ya kakayetu mpendwa Paul peponi.
ReplyDeleteKila nafsi itaonja mauti- Apumzike kwa Amani- Amen
ReplyDeletePoleni sana wafiwa.
mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.
R-I-P PAUL
ReplyDeleteRest in Peace young bro.
ReplyDeleteMungu amuweke Paul Mahali pema peponi.Unajuwa umetutangulia lakini sisi tuliobaki tutakufuata.Tulisali pamoja ST.ALBANO pamoja na hakina Andrew Mwenja, Mandera Wakati, Martin Mshuza, pamoja na Bob Karashani. Pole sana familia na ndugu na jamaa
ReplyDeleteR.I.P
ReplyDeleteRIP Paul Kalanje. My Prayers are with Kalanje family during this trying time. May God give you strength to cope with such a loss.
ReplyDeleteRegards,
Paul Mbenna
Poleni sana Familia ya Kalanje...
ReplyDeleteMungu na awape amani na faraja nyingi hasa wakati huu...
R I P Paul,
Elly Njau.