MAREHEMU PAUL TARUMBA KALANJE
(1966-2010)
FAMILIA YA KALANJE INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO PAUL TARUMBA KALANJE KILICHOTOKEA SIKU YA IJUMAA KUU TAREHE 2/4/2010 HAPA NYUMBANI UPANGA.

MSIBA UKO HAPO KWAO UPANGA OPPOSSITE NA JESHINI KWA UPANDE WA PILI KAMA UNAENDA DUKA LA MZINGA. HUDUMA YA MAZISHI ITAKUWA KESHO KUANZIA SAA 5 ASUBUHI NYUMBANI HAPO NA BAADAE MISA KANISANI ST.ALBAN KISHA MAZISHI MAKABURI YA WA ANGLIKAN BUGURUNI

KATIKA UHAI WAKE MAREHEMU ALIWAHI KUAJIRIWA PEPSI-MWANZA,NA TAZAMA MOROGORO. HADI MAUTI YANAMKUTA ALIKUWA MJASILIA MALI. PIA AMEWAHI KUWA DJ MWAMZONI MWA MIAKA YA 1980HAPA DAR ES SALAAM.

KWA MAELEZO NA MAWASILIANO ZAIDI>
ALEX KALANJE-MOB 0754-271419

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. poleni wa kina kalanje wote,mwenyezi mungu ailaze roho ya kakayetu mpendwa Paul peponi.

    ReplyDelete
  2. Kila nafsi itaonja mauti- Apumzike kwa Amani- Amen
    Poleni sana wafiwa.
    mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.

    ReplyDelete
  3. R-I-P PAUL

    ReplyDelete
  4. Rest in Peace young bro.

    ReplyDelete
  5. Patrick NhigulaApril 05, 2010

    Mungu amuweke Paul Mahali pema peponi.Unajuwa umetutangulia lakini sisi tuliobaki tutakufuata.Tulisali pamoja ST.ALBANO pamoja na hakina Andrew Mwenja, Mandera Wakati, Martin Mshuza, pamoja na Bob Karashani. Pole sana familia na ndugu na jamaa

    ReplyDelete
  6. RIP Paul Kalanje. My Prayers are with Kalanje family during this trying time. May God give you strength to cope with such a loss.

    Regards,

    Paul Mbenna

    ReplyDelete
  7. Poleni sana Familia ya Kalanje...

    Mungu na awape amani na faraja nyingi hasa wakati huu...

    R I P Paul,

    Elly Njau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...