Uganda's Vice President Prof.Gilbert Bukenya welcomes President Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Entebbe International airport for The 3rd East Africa Investment conference.
A young ugandan girl Clarissa Kanyenjeka presents a bouquet of flowers to president Jakaya Kikwete shortly after he arrived at Entebbe International Airport for the EAC investment conference to be held ta Munyonyo Speke Resort in Kampala.
Traditional dancers intertain President Jakaya Mrisho Kikwete and his entourage shortly after he arrived at Entebbe airport for the crucial EAC conference on investment.
Uganda's Vice President Prof.Gilbert Bukenya escorts president Jakaya Kikwete through Entebbe airport shortly after he arrived for the 3rd East Africa Investment conference to be held at Munyonyo speke Resort in Kampala
(photos by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kweli marahisi wa kiafrica wanapendana sana!! kwani kweli kupokeana kwa zamu na lazima na ngoma wachezewe. Hivi kuna ulazima gani. Na hapo nauakika kitita chepesa kimetemea washangiliaje awaji bure!!! jamani tu we serious wewe unakwenda kwenye mkutano paa shuka huthuria timuka . kasilahi mbele. why we keep wasting time !! wake up africa

    ReplyDelete
  2. POLE KWA SAFARI MZEE, SAFARI MOJA HUZAA NYINGINE.

    ReplyDelete
  3. we Anon wakwanza! unataka watu wakale wapi? unadhani mjini utarima rami!

    Hao wakipewa bado hela itakuja kwenye mzunguko wahela!

    Ila swalilangi ni KWANINI MSEVEN HAJAJA KUMPOKEA KIKWETE/

    AU ANAUMWA? NA KAMANIMAKUSUDI BASI SIKU AKIJA TUNAMTUMA PINDA AKAMPOKEE!

    ReplyDelete
  4. Mbona hili lidege la raisi lina msitari wa buluu kama daladala ya mwananyamala?

    ReplyDelete
  5. Anon 30April 11:19 am hahahahahah umenichekesha sana. Nadhani Museveni hiyo kashfa ya ufisadi maandalizi ya mkutano wa Jumuiya ya Madolo una mnyima usingizi.... ila inawezekana yupo na cabinet yake vikao vya maandalzi si unajua Africa maandalizi ya "zimamoto" ndo zetu?

    Wwe Anon wa kwanza? Je! ndege zitatua kwa pamoja ili ngoma na nk ziwe kwa pamoja au wakae airport kusubiriana ndo ngoma zianze? Sijakuwela wasiwasi wako ni nini?

    Hujui wacheza ngoma wapo ofisini kwao pia? wasipocheza watakula vipi?

    Ipo siku utasema wapeane lift kwenye ndege.. tanzania, rwanda, burundi, kenya to Uganda hahahah
    unataka yawe ya rwanda 1994

    ReplyDelete
  6. Thu Apr 29, 10:08:00 PM Anon... Protocol hizo mzee wacha majungu hata kwa wacheza ngoma? Loh! Omba nafasi chuo cha diplomasia ukasome kidogo utaelewa jinsi ya kwa handle -- viongozi wakuu

    ReplyDelete
  7. Mbona Museveni hakuja kumpokea Prezzo?

    Au ni kweli lile bifu lao na JK?

    ReplyDelete
  8. hapana ameazima dege la chadema MALIZIA

    ReplyDelete
  9. Upokewaji wa viongozi kwa ngoma ni kitu cha kawaida na ni heshima. Rais hawezi kushuka airport kama mkimbizi. Yeye ni kiongozi wa nchi anapotua nchi nyingine lazima heshima kwa taifa iwepo ikiwemo kupigiwa wimbo wa taifa, gwaride na ngoma. Mbona huhoji kwanini wazungu waliweka utaratibu wa gwaride na mizinga? wewe umeona ngoma tu? acha hizo. Kuhusu Museveni kutoenda airport ni kwamba, kama Kikwete angekuwa amekwenda kwa ziara ya kitaifa, angekuja museveni, lakini amekwenda kwa ajili ya kikao na wako maraisi wengi wanakuja kwa mpigo, unataka museveni ashinde airport kuwapokea? Mara nyingi kukiwa na vikao hata kwetu wataenda viongozi wengine kupokea mfululizo wa wageni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...