JACQUELINE KIBACHAhas a passion for the power of words and a heart to raise the voice of those whose voices are not heard. Currently working in the government and policy in London, she would like to use the skills gained in this work to establish projects and eventually systems in Tanzania and other African countries that would benefit.
For More
to see her blog


Safi sana.
ReplyDeletePia mambo iko
http://www.harusiyangu.com/forumview.php
hebu nisaidieni hapa, mimi kiingilishi kinanishinda
ReplyDeleteCurrently working in the government and policy in London
anakusudia kusema nini hapa?
Nimekubaali.....keep it going baby, definitely you got talent. Yall, she has a potential to be really good!. Cute, too.
ReplyDeleteIna maana nyie mnaochangia hizo posts zingine hii hamuioni? Mbona mnambania? Au kwa vile mzuri sana?
ReplyDeleteAisee Dada yangu, yaani upo juuu! Unaita ile mbaya, halafu umepanga vitu vikali si kipole pole, halafu pia kichwani inaelekea unajua unachokifanya! Yaani waaa waaaa.
Hao wabongo walivyokukalia kimya wasikukatishe tamaa, mi nishawazoea. Take it from me.
Keep Up the Good Work and the Looks!
taratibu, nke wa mtu na heshma zake.
ReplyDeleteKwani alikwambia kuwa mke wa mtu hasifiwi nani? Nyie ndo wale waleee. Unampa tu stahili yake inayompasa.
ReplyDelete