Balozi wetu Rome Mh. Ali Abeid Karume akihutubia kwenye sherehe za muungano jijini humo leo. Kulia ni mai waifu wake na shoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania Roma, Itay
Mwenyekiti akisema machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi

baadhi ya wanajumuiya kibao waliohudhuria hafla hii


Mama Balozi akiwa na baadhi ya kinamama waliohudhuria

Watanzania waishio mjini Rome na sehemu mbalimbali za Italia wamejitokeza kwa wingi kusherekea sikukuu ya kuadhimisha miaka 46 ya muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mgeni rasmi katika sherehe hii muhimu kwa taifa letu alikuwa Mh.balozi Ali Abeid Aman Karume. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ubariki muungano wa nchi yetu. Kwa habari zaidi tembelea blog ya Jumuiya ya Watanzania Roma:
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. jamani mdogo wangu maria salome! ni miaka mingi sana tangu tuwe pale chang'ombe parish, vipi fr paul ajambo? Naona umependeza sana na huyo ndio mjomba wetu nini?
    salamu nyimgi sana kwa waseminary wote waliotokea chang'ombe kuja hukon Italy!
    Mdau
    kaka yako matwanga mdogo!
    Nb: pls ikiwezekana naomba namba ya fr paul (phone)

    ReplyDelete
  2. UMOJA WETU NI WA AMANI NA UTADUMU

    Hayati Abeid Aman Karume na baba wa Taifa mwl. Julius Kambarage Nyerere walikuwa na mtazamo wa mbali wa kutuunganisha,muungano umejenga mizizi na kungo`leka haitokuwa rahisi,mengineyo yatakuwa majaribio ya wasiopenda umoja na amani,kinachotakiwa kwa sasa tupige hatua mpya ya serikali za mseto pande zote mbili kulinda maendeleo ya uchumi wetu na kuongeza juhudi za umoja na amani kwa watanzania wote.

    Mickey Jones
    Denmark

    ReplyDelete
  3. Huu ni mfano mzuri ambao nchi zingine za africa zinapaswa kuufuata! Kwa mwendo kama huu lazima africa vita vitapungua..Muungano muungano maana wote ni watoto wa Mola!!

    ReplyDelete
  4. Huu ni mfano mzuri ambao nchi zingine za africa zinapaswa kuufuata! Kwa mwendo kama huu lazima africa vita vitapungua..Muungano muungano maana wote ni watoto wa Mola!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...