
Mama Balozi akiwa na baadhi ya kinamama waliohudhuria
Watanzania waishio mjini Rome na sehemu mbalimbali za Italia wamejitokeza kwa wingi kusherekea sikukuu ya kuadhimisha miaka 46 ya muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mgeni rasmi katika sherehe hii muhimu kwa taifa letu alikuwa Mh.balozi Ali Abeid Aman Karume. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ubariki muungano wa nchi yetu. Kwa habari zaidi tembelea blog ya Jumuiya ya Watanzania Roma:
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma
jamani mdogo wangu maria salome! ni miaka mingi sana tangu tuwe pale chang'ombe parish, vipi fr paul ajambo? Naona umependeza sana na huyo ndio mjomba wetu nini?
ReplyDeletesalamu nyimgi sana kwa waseminary wote waliotokea chang'ombe kuja hukon Italy!
Mdau
kaka yako matwanga mdogo!
Nb: pls ikiwezekana naomba namba ya fr paul (phone)
UMOJA WETU NI WA AMANI NA UTADUMU
ReplyDeleteHayati Abeid Aman Karume na baba wa Taifa mwl. Julius Kambarage Nyerere walikuwa na mtazamo wa mbali wa kutuunganisha,muungano umejenga mizizi na kungo`leka haitokuwa rahisi,mengineyo yatakuwa majaribio ya wasiopenda umoja na amani,kinachotakiwa kwa sasa tupige hatua mpya ya serikali za mseto pande zote mbili kulinda maendeleo ya uchumi wetu na kuongeza juhudi za umoja na amani kwa watanzania wote.
Mickey Jones
Denmark
Huu ni mfano mzuri ambao nchi zingine za africa zinapaswa kuufuata! Kwa mwendo kama huu lazima africa vita vitapungua..Muungano muungano maana wote ni watoto wa Mola!!
ReplyDeleteHuu ni mfano mzuri ambao nchi zingine za africa zinapaswa kuufuata! Kwa mwendo kama huu lazima africa vita vitapungua..Muungano muungano maana wote ni watoto wa Mola!!
ReplyDelete