Kikosi cha simba enzi hizo. wenye data na majina msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. waliosimama- mohamed bakari tall,haidar omar,aloo mwitu,mohd kajole,iddi salum,omar shabaan gumbo,ismail aden,arthur mambeta,hassan mlapakolo. waliokaa kessi manangu,simjui,hassan sekulu,athman juma,saad ally,hamisi askari,abdallah kibadeni,abbasi dilunga-nakumbuka enzi hii kama vile jana, kuna wachezaji kama mlapakolo,mambosasa tulipeana mkono, kassim manara tulikuwa jirani pale dom barabara ya saba, hassan gobbos ndiyo mjomba!!!

    ReplyDelete
  2. Anonymous umepatia wote ila Mohamed Tall Bakari iliingia Simba mwaka 1976,wakati hii ni timu ya mwaka 1973/74.

    ReplyDelete
  3. Walio chuchumaa wa tatu kushoto Sio Sekulu, ni myao huyo ni Sakuru

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...