Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Simba leo wameibanjua Haras El Hadoud ya Misri bao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Simba oye!
----------------------------
Kunradhi wadau. Kutokana nma matatizo yaliyokuwa nje ya Globu ya Jamii taswira hizi zimechelewa kupandishwa. Tunawataka radhi kwa usumbufu wowte uliotokea. Mitambo ya mwenyeji wetu (host) ilikuwa na kwikwi kwa muda ila sasa mambo ni mswano na Libeneke kama kawa.
-Michuzi
Wamebahatisha.
ReplyDeleteHongera Simba. Bila ya shaka mechi ya marudiano ndio itakayoamua hatma ya Simba. Nina imani yatajirudia ya 2003 Simba ilipoitoa Zamalek kwa mikwaju ya penalti. Simba ijiandae vizuri.
ReplyDeleteMARKHABAA!
ReplyDeleteTunaomba wasifu wa hiyo timu ya Haras..msaada tutani.
ReplyDeletemechi ya marudiano ni simba 0 alhdoooood 1 haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemnoko wa wanoko
Hongereni sana watani, Mungu awaongoze na kuwajalia ushindi mwingine katika mechi ya marudiano!
ReplyDeleteHizo taswira haziwekwi tu hapo tuzione jamani,haswa sisi wa ughaibuni,au huo mchezo umechezwa RUKWA nn,mnasubili gari litoke SIMBAWANGA lilete hizo taswira,haaaaaaaa ankal unatuangusha bana
ReplyDeleteTWAZISUBIRI HIZO TASWIRA JAMAN AU KWA KUWA NI SIMBA,MWATUBANIA ANKAL,UTAZANI HUO MCHEZO UMECHEZWA SUMBAWANGA BWANA
ReplyDeleteAnkal......nimeona kwenye libeneke la Mohammed Dewji, jamaa ameenda kushuhudia MSimbazi wakifanya mauaji, naona jamaa atarudi SImba....akirdui naona anaweza akatupa furaha ya Zamalek......
ReplyDeleteGoli la pili midadi ikawa mingi kwa MO sasa kwa nini asirudi SImba .....
mdau mtoa maoni wa kwanza anaroho mbaya hana hata uzalendo. timu moja nchi nzima inawakirisha kimataifa then unasema wamebahatisha we unataka washinde mangapi ndo uone wanaweza.
ReplyDeleteharuuuuuuuuuuuu, kitu kinapaa hicho wacha simba iwape raha mashabiki wake na taifa mwaka huu.
hongera wekundu wa msimbazi.
msibweteke misri pachungu sana hasa ukiwa kwao.
uwanja mbona upande huo hakuna watu?
ReplyDeletewabongo kwa kutopenda michezo?ndo maana vitambi nyama-uzembe weee
hongera simba
lol