Spika wa Bunge. Mhe Samuel Sitta akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC Parliamentary Forum) Dr. Esau M. Chiviya mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa 122 wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ulifanyika Bangkok, Thailand kuanzia tarehe 27 march na Kumalizika leo tarehe 1 April 2009. Spika wa Bunge. Mhe Samuel Sitta akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC Parliamentary Forum) Dr. Esau M. Chiviya nje ya Ukumbi wa Centara Grande Convention Centre mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa 122 wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ulifanyika Bangkok, Thailand kuanzia tarehe 27 march na Kumalizika leo tarehe 1 April 2009.
Spika wa Bunge. Mhe Samuel Sitta katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC Parliamentary Forum) Dr. Esau M. Chiviya mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa 122 wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ulifanyika Bangkok, Thailand kuanzia tarehe 27 march na Kumalizika leo tarehe 1 April 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...