Sporah with TID and Ali Kiba in London recently

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Congrats Sporah- You work hard dear, you deserve your success.

    ReplyDelete
  2. YOU ROCK GIRL
    bring it on safiiiii sana mtoto wa kike ayo ndo tunayotaka kwa mtoto wa kike

    fight life,prove everything wrong

    ReplyDelete
  3. Sporah, Kweli sikujui lakini maombi yangu yamefika in one way or another..
    Karibu sana Tanzania dada Sporah. I looooooooooooove you soo much, i looove the Sporah Show, na ninaamini itatusaidia sisi kina dada kuwa na confident ya kufanya mambo makubwa kama wewe.

    ReplyDelete
  4. Naomba tu usije kubadilisha concept ya Show yako, maana tulikua na Kina ZeCommeddy wamejikuta wamebadilisha vitu sikuizi ze Comeddy sio ile ya zamani.. Sasa endelea hivo hivo kuelimisha Ypoung Tanzania Generation kama ulivofanya na kina alikiba kuhusu Condon, i think your one in Millin Sporah and i believe you will bring change to our young girls.
    well done.

    ReplyDelete
  5. picha nzuri sana

    ReplyDelete
  6. HONGERA BIDADA, KEEP ON ROCKING.
    WE LOVE YOU.

    ReplyDelete
  7. KARIBU SANA TANZANIA SPORAH LAKINI NAOMBA UJE KUIJENGA TANZANIA NA SIO KUIPOTOSHA MAANA YOUR SUCH AN INSPIRATION TO YOUR TANZANIAN GIRLS, SASA UJUE VIJANA WATAKUKOPI NA MAMBO MENGI MNNO, HIVO ANGALIA MAADILI NA CULTURE YETU HASA HIVO UNATOA TV SHOW YAKO HUKO ULAYA KUILETA HAPA NYUMBANI.
    OTHERWISE, CONGRATULATION SPORAH, HIYO NI ATUA KUBWA SANA NA NAAMINI SOON UTAKUA ALL OVER AFRICA.

    TANZANIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na jamaa hapo juu, Hii Show ni nzuri hapa London kwasababu inaelimisha jamii.. Sasa iendelee hivo hivo maana ni ukweli sometimes Wakina dada mkishafikaga mahali mnajisahau na kuanza kusahau kazi zenu, sasa ni vizuri sana kujua ni kitu gani kimewavutia STAR TV kukupa Air time in Tanzania, na hapo BEN TV.
    Ushauri wangu tu ni huu,
    ENDELEA KUWA THE SAME SPORAH AS ALWAYS , USIBADILIKE MAANA THAT IS ONE THING VERY SPECIAL ABOUT YOU. ANGALIA MAFANIKIO YASIJE KUKUPOTOSHA. OTHEWISE HONGERA SANA MAMA, MI NI FAN MKUBWA SANA WA SHOW YAKO, NA NINAAMINI UTAFIKA MBALI SANA, SO FAR SO GOOD.. NA MWANZO NDIO MGUMU ILA SASA UNAUPITA THE REST NI KUFLY TU. KEEP UP SPORAH, WE LOVE YOU.

    ReplyDelete
  9. Mzee nimeomba maojiano ya Michuzi blogna huyu Mrembo siku nyingi, lakini umenibania.
    Ni Miss au Mrs? ni kwa swali tu Baba, kananisumbua, nimeona nikatoe tu, kasije kakaninyonga koo.

    ReplyDelete
  10. Normally mimi sio mpenzi wa Star TV, lakini kama mambo ndio haya, Basi mi ntakua mpenzi wa STAR TV.
    Karibu Bongo Dada Sporah.

    ReplyDelete
  11. SPORAH, YEEEEEEEEEEEEEEEEEEES
    YOU DID IT GIRL.
    NICE PICTURE, HAPPY PEOPLE.
    GO GIRL KEEP ON REPRESENTING,
    TZ ** YES WE CAN**

    ReplyDelete
  12. Sasa Funga kamba Mama.. Hongera sana Sporah, we are so proud of you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...