Home
Unlabelled
Sporah Show to be aired on Star TV!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Congrats Sporah- You work hard dear, you deserve your success.
ReplyDeleteYOU ROCK GIRL
ReplyDeletebring it on safiiiii sana mtoto wa kike ayo ndo tunayotaka kwa mtoto wa kike
fight life,prove everything wrong
Sporah, Kweli sikujui lakini maombi yangu yamefika in one way or another..
ReplyDeleteKaribu sana Tanzania dada Sporah. I looooooooooooove you soo much, i looove the Sporah Show, na ninaamini itatusaidia sisi kina dada kuwa na confident ya kufanya mambo makubwa kama wewe.
Naomba tu usije kubadilisha concept ya Show yako, maana tulikua na Kina ZeCommeddy wamejikuta wamebadilisha vitu sikuizi ze Comeddy sio ile ya zamani.. Sasa endelea hivo hivo kuelimisha Ypoung Tanzania Generation kama ulivofanya na kina alikiba kuhusu Condon, i think your one in Millin Sporah and i believe you will bring change to our young girls.
ReplyDeletewell done.
picha nzuri sana
ReplyDeleteHONGERA BIDADA, KEEP ON ROCKING.
ReplyDeleteWE LOVE YOU.
KARIBU SANA TANZANIA SPORAH LAKINI NAOMBA UJE KUIJENGA TANZANIA NA SIO KUIPOTOSHA MAANA YOUR SUCH AN INSPIRATION TO YOUR TANZANIAN GIRLS, SASA UJUE VIJANA WATAKUKOPI NA MAMBO MENGI MNNO, HIVO ANGALIA MAADILI NA CULTURE YETU HASA HIVO UNATOA TV SHOW YAKO HUKO ULAYA KUILETA HAPA NYUMBANI.
ReplyDeleteOTHERWISE, CONGRATULATION SPORAH, HIYO NI ATUA KUBWA SANA NA NAAMINI SOON UTAKUA ALL OVER AFRICA.
TANZANIA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Nakubaliana na jamaa hapo juu, Hii Show ni nzuri hapa London kwasababu inaelimisha jamii.. Sasa iendelee hivo hivo maana ni ukweli sometimes Wakina dada mkishafikaga mahali mnajisahau na kuanza kusahau kazi zenu, sasa ni vizuri sana kujua ni kitu gani kimewavutia STAR TV kukupa Air time in Tanzania, na hapo BEN TV.
ReplyDeleteUshauri wangu tu ni huu,
ENDELEA KUWA THE SAME SPORAH AS ALWAYS , USIBADILIKE MAANA THAT IS ONE THING VERY SPECIAL ABOUT YOU. ANGALIA MAFANIKIO YASIJE KUKUPOTOSHA. OTHEWISE HONGERA SANA MAMA, MI NI FAN MKUBWA SANA WA SHOW YAKO, NA NINAAMINI UTAFIKA MBALI SANA, SO FAR SO GOOD.. NA MWANZO NDIO MGUMU ILA SASA UNAUPITA THE REST NI KUFLY TU. KEEP UP SPORAH, WE LOVE YOU.
Mzee nimeomba maojiano ya Michuzi blogna huyu Mrembo siku nyingi, lakini umenibania.
ReplyDeleteNi Miss au Mrs? ni kwa swali tu Baba, kananisumbua, nimeona nikatoe tu, kasije kakaninyonga koo.
Normally mimi sio mpenzi wa Star TV, lakini kama mambo ndio haya, Basi mi ntakua mpenzi wa STAR TV.
ReplyDeleteKaribu Bongo Dada Sporah.
SPORAH, YEEEEEEEEEEEEEEEEEEES
ReplyDeleteYOU DID IT GIRL.
NICE PICTURE, HAPPY PEOPLE.
GO GIRL KEEP ON REPRESENTING,
TZ ** YES WE CAN**
Sasa Funga kamba Mama.. Hongera sana Sporah, we are so proud of you.
ReplyDelete