Familia ya Hayata wa Mwenge Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Skandar Mohamed Hayata (pichani) kilichotokea nyumbani kwake Mbezi Makonde Dar es salaam majira ya saa moja jioni, tarehe 13.04.2010. Marehem aliyelizaliwa mwaka 1952, anatarajiwa kuzikwa Siku ya Jumamosi tarehe 17.04.2010 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Mola aiweke roho ya Marehemu pahala pema peponi - Amina
Familia ya Hayata
Kwa mawasiliano:
Bw. Boniface Katanyabile
0784 780 188


Ha !, Masikini mzee Hayata, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia na wahusika wote. Ninamkumbuka sana marehemu, alikuwa schoolmate wangu pale Bukoba seko miaka ya mwanzoni mwa 1970na mwingi wa ucheshi, upendo, na furaha.
ReplyDeletePumzika kwa amani ndugu yetu.
May God rest His soul in peace amen Jamani Hayata was so nice nimejuana nae since 1984 tumeishi wote mwenge as a family ni mtu ambaye alikuwa na upendo sana na majirani zake wakubwa na wadogo. Will miss you Brother
ReplyDeleteMimi nilisoma naye UDSM early 70's. Mpaka leo nakumbuka baadhi ya stories zake alizokuwa akitupa na kutuchekesha. Nawapa pole wanafamila wake. Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi. Amin.
ReplyDeleteNimepokea msiba huu kwa huzuni sana. Iliyobaki tumwombee na tuenzi upendo, uchezi wake. Be Blessed Uncle Hayata
ReplyDeleteNdugu na familia ya hayata nimepokea kwa uchungu na majonzi msiba wa mjoma hayata kwani alikua rafiki mkubwa wa mjomba angu Dr. mhoma. Mungu mueke mahari pema uncle hayata na nina imani nyumbani tz atakuja mtu kutuwakilisha akiwemo uncle Dr. mhoma na wengine poleni sana wana familia . albert
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.
ReplyDeleteUncle tutakukumbuka kwa ucheshi wako, mawazo yenye busara, na ideas za kujikwamua kiuchumi. Tumepoteza mtu aliyekuwa na akili sana
thanx to u all we mc our Dad
ReplyDelete