(3 May 1933 – 13 April 2007)
1 Thessalonians 4:13-14
Sekunde, Dakika, Masaa, Siku, Wiki, Miezi na sasa ni miaka mitatu tangu Mungu wetu mwenye wingi wa rehema na upendo alipodhihirisha utukufu na mapenzi yake makubwa kwako hadi akaamua kukuchukua alfajiri ya siku ya Ijumaa terehe 13/04/2007.

Huzuni na majonzi bado vimebaki kuwa ni sehemu ya maisha yetu katika familia lakini tuna imani neno la Mungu litatimia na siku moja tutakutana tena; na hapo hatutatengana tena milele. Matendo yako mema yamebaki kuwa lulu na mwanga uiangaziayo familia yetu.
Maisha yako ya upendo, unyenyekevu, uadilifu, utu wema na bidii katika kazi ndiyo dira inayotuongoza sisi mke wako Mama Ahilai, watoto wako Sydney, Sarah, Oripa, Geofrey, Rodney, wakwe pamoja na wajukuu zako Dennis, Caren, David, Samantha na Jovin. Tutakukumbuka sana na kukulilia siku zote. Tunaendelea kukuombea ili upate pumziko la amani siku zote.
Ndugu zako wa uzaliwa wako na familia zao na ndugu wengine wote wa koo za Chiduo, Chitemo, Chigongo, Mheta, na Msele nao pia wanakukumbuka sana. Kwetu sote imebaki kumbukumbu ni jinsi gani ulikuwa mhimili wa familia.
Rafiki zako, Madaktari wenzako, Wanasiasia wenzio wachache na wengine bado wanakumbuka bidii yako na mchango wako mkubwa ulioutoa katika kulitumikia Taifa hili. Bado wanazungumzia hulka yako ya uaminifu, uadilifu, unyenyekevu na kupenda haki viliyokujengea heshima kubwa miongoni mwa jamii.
"The righteous perish, and no one ponders it in his heart;
devout men are taken away, and no one understands that the righteous are taken away to be spared from evil. Those who walk uprightly enter into peace; they find rest as they lie in death." Isaiah 57:1-2
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.

Jina la Bwana Lihimidiwe.
We love you but God loves you more, rest in peace Dr Chiduo.
ReplyDeleteIlikuwa sifahamu kama Dr. Chiduo amefariki. RIP DR. Chiduo
ReplyDeleteMi mwenyewe imebidi nisome kbs mpk chini ili ni hakikishe kama ni yeye kweli au wanafanana
ReplyDeleteaisee habar hz sikufanikiwa hata kuona kwenye habari aliyekuwa waziri wa afya mmh
RIP Dr
Duh!!hata mimi sikujuaga
ReplyDeleteI knew him personally, he was a calm and a peaceful person.He was ahead of me in medical school. One day our professor of anatomy had given him 20 out of 20 in an exam, and said to us,you lot,you got to follow his example
ReplyDeleteGod bless him,and rest him in perpetual peace
wakatabahu
Alikuwa Mbunge wangu
ReplyDeleteSo fun kwamba ndio nashtukia hapa kama alifariki
POleni wana familia wooote
Me too, jamani ndo kwanza nashtukia!
ReplyDeleteR.I.P Dr. Chiduo.
Poleni sana Rodney, na wanafamilia.