MOO FLAVA DJ'S INAPENDA KUWAKARIBISHA WADAU WOTE WA BURUDANI WAISHI0 NDANI NA NJE YA HOUSTON TX MAREKANI KWENYE PARTY YA MKUSANYIKO MAALUMU WA WANA FACEBOOK, PARTY HII ITAKUWA YA KWANZA KUFANYIKA NCHINI MAREKANI.

KWA WANAFACEBOOK KUTOKA PANDE ZOTE ZA MAREKANI KUKUTANA SEHEMU MOJA KWA SIKU MBILI ZA BURUDANI, FRI MAY 7TH & SAT MAY 8TH KATIKA UKUMBI WA 'NEW CLUB SAFARI.

WADAU WOTE WA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA MAREKANI NA DUNIANI KWA UJUMLA MNAKARIBISHWA, ON FRI LADIES ITAKUWA NO COVER AND FREE DRINKS MPAKA SAA 7 ZA USIKU, NA SAT LADIES NI FREE MPAKA SAA 7 ZA USIKU.

WADAU WOWOTE KUTOKA NJE YA TEXAS NI FREE ALL NITE WITH I.D. KATIKA SIKU ZOTE MBILI KUTAKUWA NA MISS & MR FACEBOOK CONTEST, HII NI KWA WALE WAKINA KAKA NA WAKINA DADA AMBAO WATATOKA KI 'P DIDDY' NA KI 'J LO' ZAWADI MAALUMU ITATOLEWA NA WAANDAJI.

KUTAKUWA NA PRO PHOTO AND VIDEO SHOOT. SAFU YA MA 'DJ' ITAONGOZWA NA 'THA' POST DJ KAYCEE KUTOKA MOO FLAVA DJ'S BILA KUSAHA DJ REX NA DJ 8TH WONDER KWA PAMOJA WATAUWASHA MOTO AMBAO HUTAZIMIKA MPAKA ITAKAPOTIMIA JUMAPILI SAA 12 ZA ASUBUHI WAKATI PARTY INAISHA.

NYAMA CHOMA, MISHKAKI NA SAMBUZA ZITAKUWA ZA KUMWAGA HIVYO WAHI SEAT YAKO MAPEMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Diaspora wa USA wao ni kuparty tu. Diaspora wa UK wakiazisha Matawi ya CCM ili kuchukua Uongozi wa Nchi yetu mnawaona Washamba!!

    Nyie ndio Washamba kweli.

    Diaspora Japan.

    ReplyDelete
  2. NYIE WATANZANIA FUNGUENI MACHO YENU TAFADHARI. NINI MAANA YA KUTANGULIA WENGINE? FANYENI JAMBO LA MAANA. HIZI PARTIES ZITAWAFIKISHA WAPI JAMANI? SAWA SAWA NA BAADHI YA WATAALAMU WETU TANZANIA KWANI WAO NI MASHUHURI WA KUTAYARISHA MIKUTANO, SYMPOSIUMS NK. TUNATAKA WATU WATANZANIA AMBAO WANAWEZA KUFANYA VITU VIKAONEKANA. TUACHE HAYA MAMBO YA KISHAMBA TAFADHARI.
    MTANZANIA DIASP.

    ReplyDelete
  3. Anonym wa Thu Apr 15, 09:31:00 AM
    umenichekesha noumah, so vip kuhusu Diaspora wa Japan n th rest??

    ReplyDelete
  4. Hii ni jamii ya watanzania duniani. Jamii inafanya kila kitu at the same time.
    Kwa sasa umeona party sio kwamba hawa watu wanaishi kwa party forever.

    Nyinyi wazee wa busara mnafanya nn cha maana? Busara kufa hadi kuzaliwa? Ndio maana hata ndoa zenu haziwi stable kwakuwa hakuna muda wa funny-serious life 24/7

    Vijana walioko USA wanafanya mambo makubwa sana ila sio wa kujianika. Ninayeandika ni business owner mkubwa vilevile, ila ikifikia wakati wa ku-chill then jirushe.

    Nakumbuka hii principle tulipewa shuleni-cheza sana, kula sana, soma sana, fanya kazi sana, sali sana. its all life niggers

    ReplyDelete
  5. Mngependa na sisi wa USA tupige picha na Michuzi kwenye maduka yetu na viwanda vyetu ndio muone tunafanya vya maana?

    Its our life haters. No body cares Japan UK, Russia ama Nigeria wanafanya nn

    Get ya life straight and leave us alone

    ReplyDelete
  6. Japan diaspora yao ni kununua vigari vya dola mia3 na kutuharibia mazingira bongo na kuleta ajali kibao.

    Marekani box sana, changisha then party kwakwenda mbele.

    Kila mtu hadi students wanaishi kwenye apartment yake na anaendesha gari lake zuri na tuna support family zetu nyumbani

    Akchuali tuko mo confortable na kujirusha ni nature yetu

    ReplyDelete
  7. Acheni wivu kila siku wabongo wakiparty hapa hamsemi mkisikia tu marekani wanaparty basi midomo juu...Kwani hivyo vikao vya ccm huko UK si kutafuta tu sababu ya kukusanyika? Unadhania kuna la muhimu huko pia ni just a get together my dear...

    Kila siku mnaona michuzi yuko bongo kwenye hizo club kwani yupo mwenyewe humo? mbona hamsemi watanzania wanaparty......Mnawivu sana na watu wanaoishi marelkani I don't know why...

    Weee huko Japani nyie mnafanya nini????? Acheni hizo.....sigh!!!!!

    ReplyDelete
  8. Hivi huyo anayesema tusiparty bila shaka anaishi bongo! ina maana huko bongo huendi Akudo, FM, Twanga, beach au sehemu yeyote ya starehe? km ndivyo siku si nyingi tutasikia upo milembe! tofauti ni kwamba bongo mpo pamoja so mnapoenda akudo si lazima mtoe tangazo kwa ankal! ss siye huku tupo maeneo tofauti, sasa bila kutangaziwa tutajuaje? usifanye mchezo na box la ughaibuni! afu eti usiparty!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...